Agha Khan kufanya upasuaji wa kurekebisha maumbile bure kwa wanawake 25

Walioko nje ya Sar hawastahili hiyo huduma?
 
Inategemea huenda ana cha ziada, mapenzi upofu.
Mapenzi sio upofu ni ukiziwi!

Nyie mnaosema hata pisi ikiwa haina taco ni fresh tu ndo huwa mnaumia shingo kugeukageuka kuwashangaa waliofungasha.
Sasa si bora uoe mwenye matacœ ili uwe unayashangaa ya mkeo nyumbani!
 
Duuh noma kubwa
 
Mapenzi sio upofu ni ukiziwi!

Nyie mnaosema hata pisi ikiwa haina taco ni fresh tu ndo huwa mnaumia shingo kugeukageuka kuwashangaa waliofungasha.
Sasa si bora uoe mwenye matacœ ili uwe unayashangaa ya mkeo nyumbani!
Narudia kuoa kwa kigezo cha taco...bila akili ni kufuga Hamas nyumbani.

Elewa...akili kwanza lifuate taco.
Ukiwa na akili njema kabisa...na una taco kwangu ni added advantage
 
Nawaona PANYA WA MAJARIBIO wakipanda daladala kuelekea AGA KHAN kujinyakulia bahati ya UPASUAJI WA BURE bila malipo.

Lamomy
 
matako ni big deal mazee
Haha watu wanatafutwa wakapigwe mjaribio..
Kwa nini mnadhani ni upasuaji wa makalio? Kuna deformation nyingi sana kwa binadamu zinazohitaji surgery. Niliwahi kuishi nchi fulani na wana utaratibu wa kufanya surgery ya kupunguza matiti kwa wanawake wote wa nchi husika bure. Yaani ni bure na mwanamama halipi chochote. Ila inafanyika kwa wale ambao wana matiti makubwa kupitiliza na ambayo yanasababisha mwanamke aishi maisha ya shida kwa sababu ya ukubwa wa maziwa. Wanaume wengi hatujii kero ya wanawake wenye maziwa makubwa kupitiliza lakini ukweli ni kwamba wana-strangle kuishi maisha ya raha kama binadamu wengine.
 


Wewe hata kiswahili hujui, ulijua ni kurekebisha shape za makalio ya wanawake? Sio hivyo, soma upya, hivi nyie watu hivi vichwa mnabeba tu
 
Ninachokiona watu wanafanya majaribio ya mambo yao ila Kwa sababu kuna wajinga wachache hawaelewi wataona wamepata bahati.... Madhara ya majaribio (-/+) yataonekana.
Hii habari ime-confuse wengi na kudhani ni surgery ya kuongoza makalio etc. Mimi nadhani upasuaji wa aina hii huwa unalenga wale watu ambao wako kwenye changamoto mbali mbali za kimaumbile siyo kila mwanamke yoyote anayetaka kupendeza. Ni kama ule mradi wa ''operation smile'' ambao huwa unafanya upasuaji wa bure kwa watu wenye ''midomo sungura''. Japo hawajataja ni upasuaji wa nini hasa, lakini ukisoma between the lines unaona kabisa hii huduma ya msaada kwa watu wenye kasoro mbalimbali za kimwili.
 
Kama kweli hivi[emoji28][emoji28]
Fanyia lamination post yangu binti yangu.
Wenye taco kubwa watageuka vituko si muda.

Kosa la ubandia litatawala akili za watu
 
Hiv mm ndo sielewi au watu wengi humu jukwaani wakishasoma heading tu wanaanza kuchangia!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…