Agha Khan kufanya upasuaji wa kurekebisha maumbile bure kwa wanawake 25

Agha Khan kufanya upasuaji wa kurekebisha maumbile bure kwa wanawake 25

Naona kilichowajia vichwani ni makalio tu[emoji16][emoji16]

Katika maelezo yao wameeleza upasuaji tiba i.e makovu ya ajali za barabarani, moto, wenza, kasoro za maumbile i.e mdomo sungura, matiti makubwa isivyo kawaida.
 
Kwa nini mnadhani ni upasuaji wa makalio? Kuna deformation nyingi sana kwa binadamu zinazohitaji surgery. Niliwahi kuishi nchi fulani na wana utaratibu wa kufanya surgery ya kupunguza matiti kwa wanawake wote wa nchi husika bure. Yaani ni bure na mwanamama halipi chochote. Ila inafanyika kwa wale ambao wana matiti makubwa kupitiliza na ambayo yanasababisha mwanamke aishi maisha ya shida kwa sababu ya ukubwa wa maziwa. Wanaume wengi hatujii kero ya wanawake wenye maziwa makubwa kupitiliza lakini ukweli ni kwamba wana-strangle kuishi maisha ya raha kama binadamu wengine.
Hivi karibuni niliona mwanamke ana matiti makubwa, kibaya zaidi ni mlinzi amevaa suruali na gwanda aaah hadi nilimhurumia...utafiki amewabebea wengine matiti
 
Mgeuze na mbele usoni tuone.
1. Akiwa na akili
2. Usoni mrembo
Nataka nini zaidi?

Ukikua utanielewa, epuka mwanamke mjinga ni janga kuliko Hamas
MWANAMKE MJINGA NI TATIZO NA MWANAMAKE ASIE NA TAKO ILE KABISA KABISA NAYE NI TATIZO PIA. AKIWA NA YOTE NI MATATIZO SQUARE ROOT TABLE 130000
 
Taco halina masna yoyote.
Ninasikitika kusema 75% ya wenye matako makubwa ni zero brain.

Mimi hisia zangu zipo kwa ke mwenye akili, taco ni bonus tu kama lipo.

Ogopa kudate mwenye taco na ni zerò brain
Alafu hayana matumizi ktk 6x6.. ni kero tu.

Raha uyaangalie tu ila ktk matumizi kama matumizi ni useless
 
Hivi karibuni niliona mwanamke ana matiti makubwa, kibaya zaidi ni mlinzi amevaa suruali na gwanda aaah hadi nilimhurumia...utafiki amewabebea wengine matiti
Ni shida ambazo huku kwetu Afrika mama inabidi aivumilie maisha yake yote. Mika ya nyuma huko vijijini kuna mama mmoja alikuwa na matiti makubwa kweli kweli na kila alipokuwa anakwenda alikuwa anaweka kanga kuyafunika. Nilikuwa namuona mara kwa mara akitoka shambani kulima, huku akiwa amebeba mzigo kichwani.
 
Lakini kwanini mambo haya yamekuja ghafla hivi?

Taarifa kamili hii hapa.

=====

Hospitali ya Aga Khan kwa kushirikiana na Shirika la Reconstructing Women International (RWI) na Hospitali ya Taifa Muhimbili, inatarajia kufanya upasuaji kurekebisha maumbile kwa wanawake na wasichana 25 kutoka maeneo mbalimbali nchini.

Upasuaji huo utakuwa bure na unatarajia kuanza kesho Jumanne Novemba 28 hadi Desemba 2, 2023 ukiwa na lengo la kurejesha uwezo wa kutembea kwa watu ambao wanamatatizo yaliyotokana na majeraha makubwa ya moto, ajali za barabarani kasoro za kimwili na wahanga wa ukatili wa kijinsia.

Upasuaji utasimamiwa na timu ya madaktari wa kimataifa wa upasuaji wa kurekebisha maumbile kutoka Marekani, Canada, na Ulaya wakishirikiana na madaktari wa Hospitali za Aga Khan Dar es Salaam, Muhimbili, Bugando, na Mnazi Mmoja ya Zanzibar.

Daktari Mwandamizi wa Upasuaji wa Aga Khan, Dk Athar Ali amesema programu hiyo ambayo kwa mwaka huu ni ya nane tangu kuanza kwake inalenga kurejesha utendaji wa kimwili ili kuwezesha na kuboresha maisha ya wanawake na wasichana wa Tanzania.

Daktari Mwandamizi wa Upasuaji wa Aga Khan, Dk Athar Ali amesema programu hiyo ambayo kwa mwaka huu ni ya nane tangu kuanza kwake inalenga kurejesha utendaji wa kimwili ili kuwezesha na kuboresha maisha ya wanawake na wasichana wa Tanzania.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ya watz,mkishasoma heading tu mnajazia yenu bila kujua content imesema Nini.

Hawafanyi mambo kuongeza maumbile sijui matako..wanafanya kurekebisha maumbile
Kuna operations za urembo ndo hizo kuongeza shepu,kurekebisha pua,kubana tumbo nk.
Na Kuna op tiba, hizi unakuta labda mtu aliokolewa ajali ya moto,kaungua vibaya ila alivyopona nyama zimeakaa vibaya na makovu
Mfano mwingine mtu kamwagiwa tindikali
Mwingine unakuta kapitia unyanyasaji kakatwa mapanga
Mwingine kazaliwa na kasoro ila Kwa kukosa pesa kashindwa kumudu op



Watu kama hao ndio mfano
 
Hii imenikumbusha yule jamaa alikuwa anajiita daktari wa meno aliyejifunzia upasuaji youtube akawa anatafuta wa kumfanyia majaribio🤣🤣🤣
 
Ni shida ambazo huku kwetu Afrika mama inabidi aivumilie maisha yake yote. Mika ya nyuma huko vijijini kuna mama mmoja alikuwa na matiti makubwa kweli kweli na kila alipokuwa anakwenda alikuwa anaweka kanga kuyafunika. Nilikuwa namuona mara kwa mara akitoka shambani kulima, huku akiwa amebeba mzigo kichwani.
Oooh huruma sana
 
Taco halina masna yoyote.
Ninasikitika kusema 75% ya wenye matako makubwa ni zero brain.

Mimi hisia zangu zipo kwa ke mwenye akili, taco ni bonus tu kama lipo.

Ogopa kudate mwenye taco na ni zerò brain
Hili sikupingi hata kidogo. Ni wachache sana wenye makubwa halafu wanajiheshimu. Sijui ni kwa nini. Mimi huwa nadhani ni kwa sababu tangu wakiwa wadogo wanaanza kuchokozwa, kutaniwa, kupapatikiwa na kufanyiwa kila aina ya ghasia hivyo wanajikuta wakiwaza maumbile yao muda wote na kuona ni kama mtaji wa maisha. Hivyo hivyo hata kwa wanawake pisi kali.
 
Back
Top Bottom