Agha Khan kufanya upasuaji wa kurekebisha maumbile bure kwa wanawake 25

Taco halina masna yoyote.
Ninasikitika kusema 75% ya wenye matako makubwa ni zero brain.

Mimi hisia zangu zipo kwa ke mwenye akili, taco ni bonus tu kama lipo.

Ogopa kudate mwenye taco na ni zerò brain
Hii kitu nime-experience sana. Upstairs 'slim figures' wako vizuri kuliko hii 'mizigo ya kipozeo'. Sijui kuna uhusiano gani kisayansi.
 
Hii kitu nime-experience sana. Upstairs 'slim figures' wako vizuri kuliko hii 'mizigo ya kipozeo'. Sijui kuna uhusiano gani kisayansi.
Ile ya Kahama ilikupa funzo?
Wenye taco bila ajili wanasumbua sana mkuu
 
Ile ya Kahama ilikupa funzo?
Wenye taco bila ajili wanasumbua sana mkuu
🤣Sidhani kama Evelyn amebeba kiasi cha kuwekwa kundi hili. Kwa wengine wengi niliopita nao, nimeona hili.
 
Ndio ukae ukijua akili za wanaume wengi wa Tanzania zinawaza makalio tu.
 
Hizo garama mnashindwa nini kureconstruct viungo vya watu wengine vilivyoharibiwa na ajali?
 
Asante kwa masahihisho , swali dogo la nyongeza , hivi hakuna wanaume walioungua moto na wao warejeshwe kwenye hali ya kawaida ?
Wapo wanaume wengi tu wenye hayo matatizo, lakini kuhusiana na hili la sasa;
1. Kuna taasisi ya wanawake ndio imedhamini hii huduma.
2. Muonekano wenye mapungufu wa maumbile huwaathiri zaidi wanawake kijamii na kisaikologia kuliko wanaume.
3. Jamii ya wanawake hapa Tanzania ni duni zaidi kiuchumi, hivyo huduma kutolewa bure kumelenga hivyo.

Kwa kifupi, huduma inawahusu watu wote lakini mpango umelenga vipaumbele. Na kipaumbele chao ni mwanamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…