Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 2,255
- 2,825
Wewe ndio unawaagizia watu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu hongera kwa kazi nzuri. Nahitaji kioo used cha samsung note 9HIZI NI BEI KUTOKA DUBAI MOJA KWA MOJA
Unaweza Agiza Hata kwa Pisi 1
IPHONE
iphone 6-16gb = 130,000
iphone 6-32gb = 150,000
iphone 6-64gb = 170,000
iphone 7 128gb = 250,000
iphone 7 PLUS 128gb = 350,000
iphone 8 64gb = 320,000
iphone 8 256gb = 380,000
iphone 8 PLUS 64gb = 440,000
iphone 8 PLUS 256gb = 490,000
iphone X 64gb = 490,000
iphone X 256gb = 550,000
iphone XS 256gb = 630,000
iphone XR 64gb = 540,000
iphone XR 128gb = 590,000
iphone XS MAX 256gb =750,000
iphone 11 64gb = 720,000
iphone 11 128gb = 810,000
iphone 11 PRO 256gb = 1,000,000
iphone 11 PRO MAX 256gb = 1,070,000
iphone 12 pro 128gb = 1,250,000
iphone 12 PRO 256gb = 1,400,000
iphone 12 PRO MAX 256gb = 1,650,000
iphone 13 PRO MAX 256gb = 2,400,000
iphone 13-128gb = 1,500,000
iphone 13 pro 256gb = 2,100,000
SAMSUNG
J7 PRIME ram 3 / 16gb = 130,000
J7 PRIME 2 ram 3 / 32gb = 150,000
A10E ram 3 / 32gb = 150,000
A20 ram 3 / 32gb = 165,000
A50 2sim = 210,000
A12 ram 3/32gb = 190,000
A21S ram3/32gb = 220,000
A31 ram4/128gb = 220,000
A32 ram 4/128gb = 240,000
A750 ram 4/64gb = 200,000
A51 256gb = 320,000
A51 4g 2sim = 280,000
A9 PRO ram 6/128 gb = 250,000
A90 5G ram 6/128 gb = 280,000
A82 ram 4/128 gb = 470,000
A23 5g ram 4/128 gb = 350,000
M23 ram 4/128 gb = 320,000
A22 5g ram 4/128 gb = 300,000
S7 EDGE ram 4/32 gb 2sim = 170,000
S8 ram 4/64gb = 230,000
S8 PLUS ram 4/64gb = 270,000
S9 ram 4/64gb = 250,000
S9 PLUS ram 6/64gb = 290,000
S10 ram 8/128gb = 380,000
S10E ram 6/128gb = 250,000
S10 PLUS ram 8/128gb = 450,000
S10 5G ram 8/256gb = 480,000
S20 ram 12/128gb = 400,000
S20 PLUS ram 12/128gb = 450,000
S20 ULTRA ram 12/128gb = 550,000
S21 ram ram 8/128gb = 600,000
S21 PLUS ram 8/128gb = 630,000
S21 ULTRA ram 12/256gb = 1,100,000
S21 ULTRA ram 12/128gb = 900,000
S22 ULTRA 256gb = 1,600,000
S22 ultra 128gb = 1,500,000
SAMSUNG NOTE
NOTE 8 ram 6/64gb = 300,000
Note8 2sim = 320,000
NOTE 9 ram 6/128gb = 350,000
N9 1sim = 350,000
NOTE 10 256gb = 450,000
NOTE 10 PLUS 12/256gb = 570,000
NOTE 20 ram 12/128gb = 500,000
NOTE 20 ULTRA ram 12/256gb = 1,100,000
NOTE 20 ULTRA ram 12/128gb = 850,000
DOT PHONES
(SAMSUNG ZENYE VIDOT VIDOGO VYEUSI KWENYE KIOO ILA ZINAFANYA KAZI VIZURI TU )
S8 = 150,000
S8 PLUS = 180,000
S9 = 210,000
S9 PLUS = 240,000
S10 5G = 380,000
S10E = 250,000
S10 = 270,000
S10 PLUS = 290,000
S20 = 350,000
S20 PLUS = 400,000
S20 ULTRA = 450,000
S21 ULTRA = 650,000
NOTE 8 = 250,000
NOTE 9 = 300,000
NOTE 10 = 350,000
NOTE 10 PLUS = 450,000
NOTE 20 ULTRA = 600,000
VIVO
VIVO Y17 ram 6/128gb = 180,000
VIVO Y19 ram 6/256gb = 220,000
VIVO Y20S ram 6/128gb = 250,000
VIVO Y21S ram 6/128gb = 250,000
VIVO Y67 ram 4/128gb = 100,000
VIVO Y85 ram 4/128gb = 120,000
VIVO Y93 ram 6/128gb = 120,000
Y66 ram 4/64gb = 70,000
HUWAEI
HUAWEI Y8s ram 4/128gb = 200,000
HUAWEI Y7 PRO ram 4/64gb = 160,000
HUAWEI P30 LITE ram 4/128gb = 250,000
HUAWEI P20 LITE ram 4/128gb = 190,000
HUAWEI P10 LITE ram 4/64gb = 130,000
HUAWEI NOVA 3i ram 6/128gb = 190,000
HUAWEI NOVA 2 PLUS ram 4/128gb = 170,000
OPPO
OPPO A57 = 100,000
OPPO F1S = 100,000
OPPO F11 ram 4/128gb = 230,000
F9 PRO ram 6/128gb = 190,000
Oppo A83 ram 6/128gb = 100,000
REDMI
MI Max 2 ram 4/64gb = 150,000
REDMI NOTE 4X ram 4/64gb = 120,000
REDMI PLAY ram 4/64gb = 150,000
SONY
XZ1 COMPACT ram 4/32gb = 110,000
XZS ram 4/32gb = 130,000
XZ ram 3/32 gb = 120,000
XPERIA 8 ram 4/64gb = 190,000
Z1 COMPACT ram 4/32gb = 120,000
X PERFORMANCE ram 3/32gb = 110,000
XZ2 ram 4/64gb = 180,000
XZ PREMIUM ram 4/64gb = 170,000
XZ3 ram 4/64gb = 210,000
URBANO KY V45 ram 4/64gb = 250,000
KWA MAWASILIANO ZAIDI YA JUU YA NAMNA YA KULIPIA NA KUPOKEA MZIGO WAKO
WHATSAPP +971 58 2640133
CALL/SMS 0654 156671 (Agent aliyepo Dar es Salaam)
SIMU TUNASAFIRISHA KWA NJIA YA NDEGE NDANI YA SIKU 1 - 3 TU USHAPATA SIMU YAKO
NITAKUAGIZIA KWA UAMINIFU MKUBWA
Kwa wanaohitaji laptop na ipad..nitaleta mkeka wa bei zake soon...
Ila unaweza kuulizia bei ya kifaa chochote nikakupatia.. (ELECTRONIC DEVICE TU)
Litapigwa jitu hapa.Mtapigwa, msiseme hamkuambiwa
Kitu watu tunaogopa ni uaminifu tu.Naomba mambo yote yaulizwe hapa..
Kila mtu apate faida na kuelewaa
Maana biashara za mtandaoni... Zinahisiwa kuwa nyingi ni za utapeli
Hali ya kuwa Kiukweli fursa ipoo za vitu bei nafuu
NB: kwann vitu dubai bei nafuu
Falme hii vitu vinaingia bila ushuru
Na kutoka pia hamna ushuru..
Sorry mkuu, ndio kucheki namba apa kumbe nilikosea.Nipo China plaza hapa na hii namba haipatikani
Huyo wakala hana umuhimu mana mzigo ni mpaka pesa utumiweyupo agent na nimeweka mawasiliano yake
0654156671
boss mm namuita wakala ila ndio dereva wa kampuni ya usafirishaji air cargo..kazi yake ni kufanya delivery ya mizigo yote inayotumwa kwa njia ya ndege kupitia kampuni ya perfectoceanfreight ...Huyo wakala hana umuhimu mana mzigo ni mpaka pesa utumiwe
Inavyoonekana hapo ukiwa na 5M unapata mzigo wa kutosha wa kuanzia na huku bongo ungezileta ungeuza bei zaidi ya hizo.Hatuna Mtaji wa kuletea mzigo boss..
Bali unalipia na kuagiziwa Simu uitakayo
Jaffari J Yusuph em tuambie mpaka sasa umepata wateja wangapi wa hapa JF
Boss yule jamaa wa lkoo mliishia wapi..Jaffari J Yusuph em tuambie mpaka sasa umepata wateja wangapi wa hapa JF
Boss hata nikikwambia 10... Ni kwa namna gani utajiridhisha ninayokwambia ni ukweli..Jaffari J Yusuph em tuambie mpaka sasa umepata wateja wangapi wa hapa JF
Yah bado na-type kupitia tecno pop 5 yanguBoss yule jamaa wa lkoo mliishia wapi..
Nikajua mpka sasa ushapata Simu na una comment kwa S21 😂😂
Mlikwama wapi na bei zangu na zake kasema ni sawaa tu
Mimi ninaweza pika data na kukudanganya... Ni bora usubirie wadau watakaokuja kusema nimewatapeli..Boss hata nikikwambia 10... Ni kwa namna gani utajiridhisha ninayokwambia ni ukweli..