Phone4Sale Agiza simu used Grade A (Refurblished phone) kutoka Dubai kwa bei za jumla

mkuu hongera kwa kazi nzuri. Nahitaji kioo used cha samsung note 9
 
Kitu watu tunaogopa ni uaminifu tu.
 
Ili uwe trusted mtafute hata ndugu au jamaa mtumie mzigo hapa Tanzania pale mteja atapo hitaji vinginevyo sisi wajanja kama wewe hatuwezi tuma pesa kwako.
yupo agent na nimeweka mawasiliano yake
0654156671
 
Huyo wakala hana umuhimu mana mzigo ni mpaka pesa utumiwe
boss mm namuita wakala ila ndio dereva wa kampuni ya usafirishaji air cargo..kazi yake ni kufanya delivery ya mizigo yote inayotumwa kwa njia ya ndege kupitia kampuni ya perfectoceanfreight ...
Na ana gari la kampuni kabisaa..so usalama wa pesa yako upo vizuri tu... yeye ndio anapokea pesa hunitumii mimi..na ndio atakayekufanyia delivery ya mzigo..
 
Hatuna Mtaji wa kuletea mzigo boss..
Bali unalipia na kuagiziwa Simu uitakayo
Inavyoonekana hapo ukiwa na 5M unapata mzigo wa kutosha wa kuanzia na huku bongo ungezileta ungeuza bei zaidi ya hizo.

Sasa nakushauri cha kufanya ili iwe rahisi otherwise hakuna atakae kutumia hela wewe uaminifu umepotea sana kwenye jamii yetu, tafuta mtaji fungua ofisi bongo biashara ifanyike.
 
Boss hata nikikwambia 10... Ni kwa namna gani utajiridhisha ninayokwambia ni ukweli..
 
Boss yule jamaa wa lkoo mliishia wapi..
Nikajua mpka sasa ushapata Simu na una comment kwa S21 πŸ˜‚πŸ˜‚
Mlikwama wapi na bei zangu na zake kasema ni sawaa tu
Yah bado na-type kupitia tecno pop 5 yangu
 
Boss hata nikikwambia 10... Ni kwa namna gani utajiridhisha ninayokwambia ni ukweli..
Mimi ninaweza pika data na kukudanganya... Ni bora usubirie wadau watakaokuja kusema nimewatapeli..
Ni suala la muda tuu
Muda utaongea tuu

Hata nikisema kila mtu niliyemuagizia Simu aje atoe review positive itaonekana tu ni account fake/ second I'd najipromo tu

Kwahiyo review ya watakaosema wametapeliwa ni bora zaidi kuliko ya walioridhishwa na huduma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…