Phone4Sale Agiza simu used Grade A (Refurblished phone) kutoka Dubai kwa bei za jumla

Yah bado na-type kupitia tecno pop 5 yangu
Mimi ninaweza pika data na kukudanganya... Ni bora usubirie wadau watakaokuja kusema nimewatapeli..
Ni suala la muda tuu
Muda utaongea tuu

Hata nikisema kila mtu niliyemuagizia Simu aje atoe review positive itaonekana tu ni account fake/ second I'd najipromo tu

Kwahiyo review ya watakaosema wametapeliwa ni bora zaidi kuliko ya walioridhishwa na huduma
 
Kuliko ninunue simu used Bora niendelee kutumia Infinix mpyaaa
 
Yah bro mambo yasiwe mengi wala mengi yasiwe mambo.
Hatuwezi wote kufanana kiakili hvy naamini kuna watu hawakuamini na kuna wengine tayari wameshapata simu zao baada ya kukupatia pesa zao.
Fanya kazi yako tuu mzee wangu.
 
Yah bro mambo yasiwe mengi wala mengi yasiwe mambo.
Hatuwezi wote kufanana kiakili hvy naamini kuna watu hawakuamini na kuna wengine tayari wameshapata simu zao baada ya kukupatia pesa zao.
Fanya kazi yako tuu mzee wangu.
Pamoja
 
Hatuna Mtaji wa kuletea mzigo boss..
Bali unalipia na kuagiziwa Simu uitakayo
USHAURI WA BUREE!
Anza kwa mtaji mdogo mkuu leta mzigo mdogo hata pisi 5 tu kwa pesa yako tukisha nunua faida na mtaji ongeza mzigo hata pisi 7 hivyo hivyo hadi utafikia kuleta container la simu.
Lakin biashara ya kupokea peaa kwanza halafu ndo mzigo ufuate imepitwa na wakati
 
Yani nitangulize pesa kwa simu used neva
 
Acha uongo, siku mija hadi tatu haiwezekani. Bos wewe kuwa mkweli tu. Hapo ni siku 7 na kuendelea.

Isitoshe inaonekana unaongea na wanaofanya kazi airport labda. Mzigo ukishuka airport kuna taratibu za kuutoa siyo kama maandazi.

Ukiutoa hapo tufanye mimi niko Tunduru, nitaupata mzigo kwa siku 3 kweli?

Wabongo uongo mwingi kuliko ukweli.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…