Phone4Sale Agiza simu used Grade A (Refurblished phone) kutoka Dubai kwa bei za jumla

Basi tafuta mtaji kwanza
 
Nipo shipping company..so najua ninachokifanya
Yaani dubai ndege iwe siku 7 mkuu hapana
simu ikipekwa leo jioni..saa 8 usiku inaondoka na ndege
kesho asubuhi simu ipo dar
hapo zinakuwa siku ngapi?
 
Nipo shipping company..so najua ninachokifanya
Yaani dubai ndege iwe siku 7 mkuu hapana
simu ikipekwa leo jioni..saa 8 usiku inaondoka na ndege
kesho asubuhi simu ipo dar
hapo zinakuwa siku ngapi?
Niko Dodoma mkuu, nataka nifanye majaribio na hiyo S8 kwanza. Nikiipata nitaagiza iphone 11 Pro.

Utaratibu wa kuipata hapa Dom unakuaje?
 
Niko Dodoma mkuu, nataka nifanye majaribio na hiyo S8 kwanza. Nikiipata nitaagiza iphone 11 Pro.

Utaratibu wa kuipata hapa Dom unakuaje?
wasiliana na ofisi dar 0654156671
utaratibu ni kulipia kisha simu inaagizwa
ofisi ipo Manzese Argentina
 
Shida inaanzia hapo. Kununua kabla ya kuona mzigo.

Kwanini usilete mzigo Dar auone alipie aondoke nao.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
ni utaratibu tu boss hatuwezi serve watu wote..wale wanaoridhia huu utaratibu..tunawahudumia..
sisi sio wafanyabiashara sisi ni shipping company
yapo maduka na wafanyabiashara ambao ukienda unaona simu zilizopo unachagua unaondoka nayo.
sisi tunapromote biashara ya uagizaji na usafirishaji
 
SIMU USED FROM DUBAI
BEI YA KUTUPA
 
Google pixel 4a gb128 storage 270,000
Google pixel xl gb 128 storage 350,000
 
Mr. iPhone 14 Pro 256 gb used purple color bei gani?
 
hizi bei ni za kariakoo kabisa boss labda nakosea. zoezi la winga hili kabisa 😂
 
Samsung Galaxy S10 Ni Ya Line Ngapi Unayoiuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…