Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna used za kkoo na used za dubai
Wengine wanataka bei zifanane
Vitu used vina grades A+, A, B, C...
Na kuna wakati mwingine used za hapa bongo unaambiwa ni kutoka dubai lakin ni top up ya mtu wa hapa hapa... Alitoa ili aongezee anunue Simu nyingine
Sasa hii hawez fanana bei na za kwangu ambazo ni moja kwa moja dubaiView attachment 2709247
Haya Wasiliana na Yusuph chap upate Simu yakoo Kabla dollar haijachanganyaaa
Ofisi Manzese Argentina
0654156671
Boss Ofisi Manzese ArgentinaMe nataka Samsung A50 yenye RAM 6gb na storage 128gb. Niko Kigamboni.
Nitajie the exact price na uniambie nikaifuate wapi.
Boss Ofisi Manzese Argentina
Namba ya mtu wa hapo ofisini
0654156671
Utaratibu ni kulipia kwanza ndio uagiziwe..
Baada ya siku 3 - 4 Simu unaifuata hapo hapo ofisini ulipo Lipia pesa
Bei ya A50 ni 220,000
Hapo kwenye mkeka wa bei inasoma 210,000 ni wa muda kidogo
Kwa sasa dollar imepanda..
Siwez msemea mtu biashara yake boss..Kuna jamaa humu kasema kanunua hizo used kutoka DP World huko kwa Zahoro Matelephone lakini ni kimeo balaa.
Anakotoa yeye so ndo unakotoa wewe au inakuaje chief?
Nataka nijilipue tu
Fanya kitu genuine ili upige hela. Usitegemee uaminifu ndio ukubebe. Haya wewe fanya uaminifu uaminifu unitumie ikifika ama ikiwa mikononi mwangu ndio unapata hela. Ofisi yangu mpaka nakoishi na nitakuonyesha uhalali wa umiliki wa hizo SEHEMU.UAMINIFU
Sijakuelewa mkuuFanya kitu genuine ili upige hela. Usitegemee uaminifu ndio ukubebe. Haya wewe fanya uaminifu uaminifu unitumie ikifika ama ikiwa mikononi mwangu ndio unapata hela. Ofisi yangu mpaka nakoishi na nitakuonyesha uhalali wa umiliki wa hizo SEHEMU.
Nimeona umetumia neno uaminifu nikajua kuwa unatuma hela ndio mzigo baadaye.Sijakuelewa mkuu
Mbona Ofisi zipo
Sehemu ambayo mtu anafanya Mali po na kupokea simu yake
Iphone 12 Mini napata kwa sh ngapi? na utaratibu wa malipo upoje pamoja na muda wa kuipata simu?HIZI NI BEI KUTOKA DUBAI MOJA KWA MOJA
Unaweza Agiza Hata kwa Pisi 1
IPHONE
iphone 6-16gb = 130,000
iphone 6-32gb = 150,000
iphone 6-64gb = 170,000
iphone 7 128gb = 250,000
iphone 7 PLUS 128gb = 350,000
iphone 8 64gb = 320,000
iphone 8 256gb = 380,000
iphone 8 PLUS 64gb = 440,000
iphone 8 PLUS 256gb = 490,000
iphone X 64gb = 490,000
iphone X 256gb = 550,000
iphone XS 256gb = 630,000
iphone XR 64gb = 540,000
iphone XR 128gb = 590,000
iphone XS MAX 256gb =750,000
iphone 11 64gb = 720,000
iphone 11 128gb = 810,000
iphone 11 PRO 256gb = 1,000,000
iphone 11 PRO MAX 256gb = 1,070,000
iphone 12 pro 128gb = 1,250,000
iphone 12 PRO 256gb = 1,400,000
iphone 12 PRO MAX 256gb = 1,650,000
iphone 13 PRO MAX 256gb = 2,400,000
iphone 13-128gb = 1,500,000
iphone 13 pro 256gb = 2,100,000
SAMSUNG
J7 PRIME ram 3 / 16gb = 130,000
J7 PRIME 2 ram 3 / 32gb = 150,000
A10E ram 3 / 32gb = 150,000
A20 ram 3 / 32gb = 165,000
A50 2sim = 210,000
A12 ram 3/32gb = 190,000
A21S ram3/32gb = 220,000
A31 ram4/128gb = 220,000
A32 ram 4/128gb = 240,000
A750 ram 4/64gb = 200,000
A51 256gb = 320,000
A51 4g 2sim = 280,000
A9 PRO ram 6/128 gb = 250,000
A90 5G ram 6/128 gb = 280,000
A82 ram 4/128 gb = 470,000
A23 5g ram 4/128 gb = 350,000
M23 ram 4/128 gb = 320,000
A22 5g ram 4/128 gb = 300,000
S7 EDGE ram 4/32 gb 2sim = 170,000
S8 ram 4/64gb = 230,000
S8 PLUS ram 4/64gb = 270,000
S9 ram 4/64gb = 250,000
S9 PLUS ram 6/64gb = 290,000
S10 ram 8/128gb = 380,000
S10E ram 6/128gb = 250,000
S10 PLUS ram 8/128gb = 450,000
S10 5G ram 8/256gb = 480,000
S20 ram 12/128gb = 400,000
S20 PLUS ram 12/128gb = 450,000
S20 ULTRA ram 12/128gb = 550,000
S21 ram ram 8/128gb = 600,000
S21 PLUS ram 8/128gb = 630,000
S21 ULTRA ram 12/256gb = 1,100,000
S21 ULTRA ram 12/128gb = 900,000
S22 ULTRA 256gb = 1,600,000
S22 ultra 128gb = 1,500,000
SAMSUNG NOTE
NOTE 8 ram 6/64gb = 300,000
Note8 2sim = 320,000
NOTE 9 ram 6/128gb = 350,000
N9 1sim = 350,000
NOTE 10 256gb = 450,000
NOTE 10 PLUS 12/256gb = 570,000
NOTE 20 ram 12/128gb = 500,000
NOTE 20 ULTRA ram 12/256gb = 1,100,000
NOTE 20 ULTRA ram 12/128gb = 850,000
DOT PHONES
(SAMSUNG ZENYE VIDOT VIDOGO VYEUSI KWENYE KIOO ILA ZINAFANYA KAZI VIZURI TU )
S8 = 150,000
S8 PLUS = 180,000
S9 = 210,000
S9 PLUS = 240,000
S10 5G = 380,000
S10E = 250,000
S10 = 270,000
S10 PLUS = 290,000
S20 = 350,000
S20 PLUS = 400,000
S20 ULTRA = 450,000
S21 ULTRA = 650,000
NOTE 8 = 250,000
NOTE 9 = 300,000
NOTE 10 = 350,000
NOTE 10 PLUS = 450,000
NOTE 20 ULTRA = 600,000
VIVO
VIVO Y17 ram 6/128gb = 180,000
VIVO Y19 ram 6/256gb = 220,000
VIVO Y20S ram 6/128gb = 250,000
VIVO Y21S ram 6/128gb = 250,000
VIVO Y67 ram 4/128gb = 100,000
VIVO Y85 ram 4/128gb = 120,000
VIVO Y93 ram 6/128gb = 120,000
Y66 ram 4/64gb = 70,000
HUWAEI
HUAWEI Y8s ram 4/128gb = 200,000
HUAWEI Y7 PRO ram 4/64gb = 160,000
HUAWEI P30 LITE ram 4/128gb = 250,000
HUAWEI P20 LITE ram 4/128gb = 190,000
HUAWEI P10 LITE ram 4/64gb = 130,000
HUAWEI NOVA 3i ram 6/128gb = 190,000
HUAWEI NOVA 2 PLUS ram 4/128gb = 170,000
OPPO
OPPO A57 = 100,000
OPPO F1S = 100,000
OPPO F11 ram 4/128gb = 230,000
F9 PRO ram 6/128gb = 190,000
Oppo A83 ram 6/128gb = 100,000
REDMI
MI Max 2 ram 4/64gb = 150,000
REDMI NOTE 4X ram 4/64gb = 120,000
REDMI PLAY ram 4/64gb = 150,000
SONY
XZ1 COMPACT ram 4/32gb = 110,000
XZS ram 4/32gb = 130,000
XZ ram 3/32 gb = 120,000
XPERIA 8 ram 4/64gb = 190,000
Z1 COMPACT ram 4/32gb = 120,000
X PERFORMANCE ram 3/32gb = 110,000
XZ2 ram 4/64gb = 180,000
XZ PREMIUM ram 4/64gb = 170,000
XZ3 ram 4/64gb = 210,000
URBANO KY V45 ram 4/64gb = 250,000
KWA MAWASILIANO ZAIDI YA JUU YA NAMNA YA KULIPIA NA KUPOKEA MZIGO WAKO
WHATSAPP +971 58 2640133
CALL/SMS 0654 156671 (Agent aliyepo Dar es Salaam)
SIMU TUNASAFIRISHA KWA NJIA YA NDEGE NDANI YA SIKU 1 - 3 TU USHAPATA SIMU YAKO
NITAKUAGIZIA KWA UAMINIFU MKUBWA
Kwa wanaohitaji laptop na ipad..nitaleta mkeka wa bei zake soon...
Ila unaweza kuulizia bei ya kifaa chochote nikakupatia.. (ELECTRONIC DEVICE TU)
Shukrani MkuuKaribu mgeni
Nitafika hapo ofisini Mkuu tufanye biashara.1,250,000