Gushleviv
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 3,475
- 5,290
Poa mkuu.Karibu
Manzese Argentina
0654156671 (namba ya mtu wa Dar)
Mimi nipo dubai
Namba yangu whatsapp +971582640133
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa mkuu.Karibu
Manzese Argentina
0654156671 (namba ya mtu wa Dar)
Mimi nipo dubai
Namba yangu whatsapp +971582640133
Karibu
Manzese Argentina
0654156671 (namba ya mtu wa Dar)
Mimi nipo dubai
Namba yangu whatsapp +971582640133
Swali la kipuuzi, contact zake zipo hapa na ofisi kashaitaja ilipo, wewe bado unauliza swali la kipumbavu. Read to understand!Kwa nini umebadili ID??
Hivi watanzania kwa nini tuko hivi? Wewe ushawahi kuagiza mzigo Dubai? Au umekariri?. Sometimes ni vizuri sana kukaa kimya kuliko kuwa mjuaji.Acha uongo, siku mija hadi tatu haiwezekani. Bos wewe kuwa mkweli tu. Hapo ni siku 7 na kuendelea.
Isitoshe inaonekana unaongea na wanaofanya kazi airport labda. Mzigo ukishuka airport kuna taratibu za kuutoa siyo kama maandazi.
Ukiutoa hapo tufanye mimi niko Tunduru, nitaupata mzigo kwa siku 3 kweli?
Wabongo uongo mwingi kuliko ukweli.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Mtego umeutegua....upo dubai huna mtaji ata wa laki 5,au 1Ml...ata ukiwa housegeli wa ndani huo mtaji unapata.Hatuna Mtaji wa kuletea mzigo boss..
Bali unalipia na kuagiziwa Simu uitakayo
Anasema hana mtaji na wala yy hafanyi biashara ni msaada tu....afu yupo dubeiUSHAURI WA BUREE!
Anza kwa mtaji mdogo mkuu leta mzigo mdogo hata pisi 5 tu kwa pesa yako tukisha nunua faida na mtaji ongeza mzigo hata pisi 7 hivyo hivyo hadi utafikia kuleta container la simu.
Lakin biashara ya kupokea peaa kwanza halafu ndo mzigo ufuate imepitwa na wakati
Upo shipping company afu huna mtaji....ahahahaaNipo shipping company..so najua ninachokifanya
Yaani dubai ndege iwe siku 7 mkuu hapana
simu ikipekwa leo jioni..saa 8 usiku inaondoka na ndege
kesho asubuhi simu ipo dar
hapo zinakuwa siku ngapi?
Mnyama Google Pixel sijamuona kabisaHIZI NI BEI KUTOKA DUBAI MOJA KWA MOJA
Unaweza Agiza Hata kwa Pisi 1
IPHONE
iphone 6-16gb = 130,000
iphone 6-32gb = 150,000
iphone 6-64gb = 170,000
iphone 7 128gb = 250,000
iphone 7 PLUS 128gb = 350,000
iphone 8 64gb = 320,000
iphone 8 256gb = 380,000
iphone 8 PLUS 64gb = 440,000
iphone 8 PLUS 256gb = 490,000
iphone X 64gb = 490,000
iphone X 256gb = 550,000
iphone XS 256gb = 630,000
iphone XR 64gb = 540,000
iphone XR 128gb = 590,000
iphone XS MAX 256gb =750,000
iphone 11 64gb = 720,000
iphone 11 128gb = 810,000
iphone 11 PRO 256gb = 1,000,000
iphone 11 PRO MAX 256gb = 1,070,000
iphone 12 pro 128gb = 1,250,000
iphone 12 PRO 256gb = 1,400,000
iphone 12 PRO MAX 256gb = 1,650,000
iphone 13 PRO MAX 256gb = 2,400,000
iphone 13-128gb = 1,500,000
iphone 13 pro 256gb = 2,100,000
SAMSUNG
J7 PRIME ram 3 / 16gb = 130,000
J7 PRIME 2 ram 3 / 32gb = 150,000
A10E ram 3 / 32gb = 150,000
A20 ram 3 / 32gb = 165,000
A50 2sim = 210,000
A12 ram 3/32gb = 190,000
A21S ram3/32gb = 220,000
A31 ram4/128gb = 220,000
A32 ram 4/128gb = 240,000
A750 ram 4/64gb = 200,000
A51 256gb = 320,000
A51 4g 2sim = 280,000
A9 PRO ram 6/128 gb = 250,000
A90 5G ram 6/128 gb = 280,000
A82 ram 4/128 gb = 470,000
A23 5g ram 4/128 gb = 350,000
M23 ram 4/128 gb = 320,000
A22 5g ram 4/128 gb = 300,000
S7 EDGE ram 4/32 gb 2sim = 170,000
S8 ram 4/64gb = 230,000
S8 PLUS ram 4/64gb = 270,000
S9 ram 4/64gb = 250,000
S9 PLUS ram 6/64gb = 290,000
S10 ram 8/128gb = 380,000
S10E ram 6/128gb = 250,000
S10 PLUS ram 8/128gb = 450,000
S10 5G ram 8/256gb = 480,000
S20 ram 12/128gb = 400,000
S20 PLUS ram 12/128gb = 450,000
S20 ULTRA ram 12/128gb = 550,000
S21 ram ram 8/128gb = 600,000
S21 PLUS ram 8/128gb = 630,000
S21 ULTRA ram 12/256gb = 1,100,000
S21 ULTRA ram 12/128gb = 900,000
S22 ULTRA 256gb = 1,600,000
S22 ultra 128gb = 1,500,000
SAMSUNG NOTE
NOTE 8 ram 6/64gb = 300,000
Note8 2sim = 320,000
NOTE 9 ram 6/128gb = 350,000
N9 1sim = 350,000
NOTE 10 256gb = 450,000
NOTE 10 PLUS 12/256gb = 570,000
NOTE 20 ram 12/128gb = 500,000
NOTE 20 ULTRA ram 12/256gb = 1,100,000
NOTE 20 ULTRA ram 12/128gb = 850,000
DOT PHONES
(SAMSUNG ZENYE VIDOT VIDOGO VYEUSI KWENYE KIOO ILA ZINAFANYA KAZI VIZURI TU )
S8 = 150,000
S8 PLUS = 180,000
S9 = 210,000
S9 PLUS = 240,000
S10 5G = 380,000
S10E = 250,000
S10 = 270,000
S10 PLUS = 290,000
S20 = 350,000
S20 PLUS = 400,000
S20 ULTRA = 450,000
S21 ULTRA = 650,000
NOTE 8 = 250,000
NOTE 9 = 300,000
NOTE 10 = 350,000
NOTE 10 PLUS = 450,000
NOTE 20 ULTRA = 600,000
VIVO
VIVO Y17 ram 6/128gb = 180,000
VIVO Y19 ram 6/256gb = 220,000
VIVO Y20S ram 6/128gb = 250,000
VIVO Y21S ram 6/128gb = 250,000
VIVO Y67 ram 4/128gb = 100,000
VIVO Y85 ram 4/128gb = 120,000
VIVO Y93 ram 6/128gb = 120,000
Y66 ram 4/64gb = 70,000
HUWAEI
HUAWEI Y8s ram 4/128gb = 200,000
HUAWEI Y7 PRO ram 4/64gb = 160,000
HUAWEI P30 LITE ram 4/128gb = 250,000
HUAWEI P20 LITE ram 4/128gb = 190,000
HUAWEI P10 LITE ram 4/64gb = 130,000
HUAWEI NOVA 3i ram 6/128gb = 190,000
HUAWEI NOVA 2 PLUS ram 4/128gb = 170,000
OPPO
OPPO A57 = 100,000
OPPO F1S = 100,000
OPPO F11 ram 4/128gb = 230,000
F9 PRO ram 6/128gb = 190,000
Oppo A83 ram 6/128gb = 100,000
REDMI
MI Max 2 ram 4/64gb = 150,000
REDMI NOTE 4X ram 4/64gb = 120,000
REDMI PLAY ram 4/64gb = 150,000
SONY
XZ1 COMPACT ram 4/32gb = 110,000
XZS ram 4/32gb = 130,000
XZ ram 3/32 gb = 120,000
XPERIA 8 ram 4/64gb = 190,000
Z1 COMPACT ram 4/32gb = 120,000
X PERFORMANCE ram 3/32gb = 110,000
XZ2 ram 4/64gb = 180,000
XZ PREMIUM ram 4/64gb = 170,000
XZ3 ram 4/64gb = 210,000
URBANO KY V45 ram 4/64gb = 250,000
KWA MAWASILIANO ZAIDI YA JUU YA NAMNA YA KULIPIA NA KUPOKEA MZIGO WAKO
WHATSAPP +971 58 2640133
CALL/SMS 0654 156671 (Agent aliyepo Dar es Salaam)
SIMU TUNASAFIRISHA KWA NJIA YA NDEGE NDANI YA SIKU 1 - 3 TU USHAPATA SIMU YAKO
NITAKUAGIZIA KWA UAMINIFU MKUBWA
Kwa wanaohitaji laptop na ipad..nitaleta mkeka wa bei zake soon...
Ila unaweza kuulizia bei ya kifaa chochote nikakupatia.. (ELECTRONIC DEVICE TU)
pixel 3A 64GB - 250,000Mnyama Google Pixel sijamuona kabisa
Apo sawaa nmekuelewa Hufanyi biashara ya simu...! Bali unafanya usafirishaji tumimi kazi yangu ni kusafirisha sio kufanya biashara ya simu..
na sijasema namiliki shipping company.
ELEWA NENO SHIPPING
Iphone 12 Mini napata kwa sh ngapi? na utaratibu wa malipo upoje pamoja na muda wa kuipata simu?
Mkuu bidhaa nyingine kama Tv na projector nazo unadeal nazo au ni simu tu?pixel 3A 64GB - 220,000
pixel 3XL 64GB - 260,000
pixel 3XL 128GB - 280,000
pixel 4 128GB - 300,000
pixel 4A 128GB - 340,000
pixel 4A 5g 128GB - 350,000
pixel 4XL 64GB - 320,000
pixel 4XL 128GB - 380,000
pixel 5 128GB - 400,000
pixel 5A 128GB - 420,000
pixel 6 128GB - 630,000
pixel 6A 128GB - 650,000
pixel 6A PRO 128GB - 920,000
Tuliwahi pigwa humu humu JF na jamaa alliikuwa anauza Vitu vya electronics toka Europe na nchi za Kiarabu alidai ana ofisi Kigamboni kumbe feck. Jamaa alikuwa na jina la Kihaya.Mtapigwa, msiseme hamkuambiwa
Pole na masahibu yaliyokukutaTuliwahi pigwa humu humu JF na jamaa alliikuwa anauza Vitu vya electronics toka Europe na nchi za Kiarabu alidai ana ofisi Kigamboni kumbe feck. Jamaa alikuwa na jina la Kihaya.
Anatuona sisi vilaza. Duh!Anasema hana mtaji na wala yy hafanyi biashara ni msaada tu....afu yupo dubei
Wewe pimbi kweli. Wizi mkubwa siku hizi unafanyika kwa kupiga simu.Yes siyo mimi, ila inakera sana watu kuanza maswali na comments za kumkatisha mtu tamaa, jamaa kaweka kila kitu humu kwa nini wasipige hizo simu kufanya mawasiliano au kujiridhisha kwa namna nyingine kuliko kuanza kumshambulia hadi kumwita tapeli? Mbona ebay, Ali Express watu wananunua vitu bila hata kujua ofisi zilipo?
Watz tuna roho mbaya mnoo, basi tu.
Kwanza akikuletea simu mbovu. ... hakuna namna ya kurudsha,atakwambia mimi sio muuzaji mi ni msafirishaji..Anatuona sisi vilaza. Duh!
Nikulipe, sikufahamu. Ukipotea hapo ofisini nitakutafutia wapi?
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
😂halafu kingine , akiulizwa baadhi ya simu anasema" hiyo sina" 😂 kwa mtu mwenye iq kubwa ataelewa.. so ina maana mzigo unao kabisa huko au ? maana maduka ni mengi huko cm haiwez kosekana used . kama unao mtumie huyo agent wako hata simu mbili mtu akitoa order, then watu ndio wafate.. elewesha vizuri , hzo cm mtu akikuagiza unaenda kuzitafuta dukani au unazo tayari ? na kama unazo basi utumie hela yako kumsafirishia ili ikifika tz mteja akalipie aichukueKwanza akikuletea simu mbovu. ... hakuna namna ya kurudsha,atakwambia mimi sio muuzaji mi ni msafirishaji..