Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Hahaha anatupiga mkwaraHaupati popote kwa Bei hii?? Dogo una marketing ya kifala sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha anatupiga mkwaraHaupati popote kwa Bei hii?? Dogo una marketing ya kifala sana
Nipee hela mzee..Nakupa 800K uniletee google pixel 4 xl iwe na 128 gb
Moja nakupa wewe nyingine nachukua mimi..
HAKIKISHA NI 128GB
Eti umeend Facebook marketplace na kusearch 4 xl.....
Hao ndio wachawi wenyewe Mkuu.Kwakweli nimepata shida kuelewaa anachoongea
Vipi kuhusu ubora wa Camera kwa kila mojaGoogle pixel 4a gb128 storage 270,000
Google pixel xl gb 128 storage 350,000
Nitafurah sana siku hiyo (jumatano) utakayo pokea Simu yakoNapenda kutoa taarifa.
Leo tarehe 11-8-2023 ijumaha nimetoka manzese Argentina kufanya malipo ya simu Google pixel 5 GB 128 used like new quality ni A++.
Nimefika mpk ofisini/nyumbani kwao na kukutana na ndugu yake Mr. Yusuph. Ndio kapokea pesa kwa niaba ya huyu ndugu yetu alioko DUBAI.
Hivi sasa nasubilia simu tajwa hapo juu mpk next week ndio itakua imefika tanganyika.
Naomba kuwasilisha.
Asante.