Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina maeneo yangu ya kuchukua Simu😂halafu kingine , akiulizwa baadhi ya simu anasema" hiyo sina" 😂 kwa mtu mwenye iq kubwa ataelewa.. so ina maana mzigo unao kabisa huko au ? maana maduka ni mengi huko cm haiwez kosekana used . kama unao mtumie huyo agent wako hata simu mbili mtu akitoa order, then watu ndio wafate.. elewesha vizuri , hzo cm mtu akikuagiza unaenda kuzitafuta dukani au unazo tayari ? na kama unazo basi utumie hela yako kumsafirishia ili ikifika tz mteja akalipie aichukue
Na kwa kuwa siyo mpya, hakuna uhakika imetumika na itatumika kwa muda gani kurejesha fedha ya kununuliaTena kipigo cha mbwa koko! Huyu jamaa tapeli mno. Eti anasema bei ni ya jumla mara eti hata ukiagizia pisi moja halafu kibaya kabisa simu zipo Dubai. Yaani huyu jamaa tapeli. Moderator wafute huu uzi
Bei ya Pixel 5A GB 125 bei ya kulipia bei gani?mbona watu washajilipua ..na wanaenjoy mamobile kutoka Dubai[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawajatoa ushuhuda.mbona watu washajilipua ..na wanaenjoy mamobile kutoka Dubai🤣🤣🤣🤣
km wameshajilpua kimyakimya bla kuja na feedback watakuw wanaend knyume na tulvyokubaliana kwenye kkaombona watu washajilipua ..na wanaenjoy mamobile kutoka Dubaií ¾í´£í ¾í´£í ¾í´£í ¾í´£
Mbona ulicho andika kwenye mkeka wako na majibu yako vitu viwili tofauti. Tufate kipi? Ss480K
Oh okay sawa kiongozi nimekuelewa. Tutafanya kaziNajua mkeka nimeandika 500k..
Bei zinabadilika kulingna na soko...
Ni vzur ukafuata jibu la mwsho
Kuna 5 na 5A usichanganye
5 450k
5A 480k
Watu wa Infinix na Tecno akili zetu tunazijua. SorryWewe pimbi kweli. Wizi mkubwa siku hizi unafanyika kwa kupiga simu.
So simu siyo msaada wa usalama wa mali zetu. Utaongea nae, akishatupiga anatupa line, halafu unapishana nae mtaani tu.
Huenda anatumia jina la marehemu babu. Tutajuaje?
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app