Phone4Sale Agiza simu used Grade A (Refurblished phone) kutoka Dubai kwa bei za jumla

Bei ya samsung edge S9 na S10 tsh ngap bosi.......!!
 
Pamoja au kama utapata aina nyingine ya Redmi embu nitajie ukitioa hizo 3 ulizopost kwenye uzi
bajeti yako ni kiasi gani nikutafutie kutokana na bajeti yako.

kuna note 13 pro+ = 1,050,000
 
OFFA OFFA OFFA
Hivi unakosaje
samsung galaxy s10E
Ram 6gb storage 128gb
kwa bei ya offa ya
250,000Tu
Zimebaki 3 tu za bei hii ya offa
 
Offa ya oppo F1s Zimebaki 5 tu
kwa 90,000
0677818283
 
UTARATIBU WETU UPO HIVI

Simu hizi ni za kuagiza kwa oda kutoka Dubai.

Tuna ofisi dar es Salaam ambapo mteja atatakiwa kufanya malipo ofisini kisha simu itaagizwa na ikifika dar es salaam atajulishwa kuja kuichukua.

Kama mtu yupo nje ya Dar es salaam basi anatakiwa atume hela kisha ataagiziwa simu na kusafirishiwa mpaka alipo.
AU
Atume mtu wake aliyepo Dar aje ofisini alipie kwa niaba yake kisha simu itakapofika huyo mtu atakuja kuichukua nakukusafirishia.

inachukua siku 3 mpaka 5 kutoka Dubai mpaka Dar es Salaam.

Ofis ipo Mwenge ITV, Dar es salaam
0677 818283
 
Mfumo wa malipo na eneo la biashara vimemuharibia sana mwamba. Huwezi fanya biashara kwa mfumo wake alafu location Manzese🤣🤣
Unahitaji mfumo gani boss.
Tumerudi tena. sasa ofisi yetu rasmi ipo
Mwenge ITV
Karibu sana

Japo mfumo ni ule ule malipo kwanza ndio simi inaagizwa.
 
Utapeli ni mwingi sanaa sana kwanini msikabidhiane mkono kwa mkono?
Wewe mwenye duka una wasiwasi wa nini hadi utake pesa kwanza?
 
Sawa mkuu umeeleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…