Sisi hatuna duka la simu..bali tunaagiza kwa niaba ya mteja ambaye anapenda kupata simu kutoka dubai ..Utapeli ni mwingi sanaa sana kwanini msikabidhiane mkono kwa mkono?
Wewe mwenye duka una wasiwasi wa nini hadi utake pesa kwanza?
Safi sana.UTARATIBU WETU UPO HIVI
Simu hizi ni za kuagiza kwa oda kutoka Dubai.
Tuna ofisi dar es Salaam ambapo mteja atatakiwa kufanya malipo ofisini kisha simu itaagizwa na ikifika dar es salaam atajulishwa kuja kuichukua.
Kama mtu yupo nje ya Dar es salaam basi anatakiwa atume hela kisha ataagiziwa simu na kusafirishiwa mpaka alipo.
AU
Atume mtu wake aliyepo Dar aje ofisini alipie kwa niaba yake kisha simu itakapofika huyo mtu atakuja kuichukua nakukusafirishia.
inachukua siku 3 mpaka 5 kutoka Dubai mpaka Dar es Salaam.
Ofis ipo Mwenge ITV, Dar es salaam
0677 818283
Nipe bei ya Sony xperia 1 vUTARATIBU WETU UPO HIVI

mkuu huu ni uzi wa biashara ya simu..uneenda kwenye kipengele cha ajira uwelke taarifa zako ingependeza zaidiHabari wakuu Mimi Nina certificate ya laboratory technician pia Nina experience ya miaka 3 kuhusu laboratory technician, laboratory analysis, QC,QA pia blending oparetor au syrup oparetor pia naweza kufanya kazi popote pale penye maabara au panapozalishwa bidhaa .yeyote atakaye nisaidia kupata connection ya job nipo tayri kuingia naye mkataba awe anakata 10% ya mshahala wangu ndani ya miezi 12.asanteni