Phone4Sale Agiza simu used Grade A (Refurblished phone) kutoka Dubai kwa bei za jumla

Oppo Reno10 pro+ bei gani?

Oppo Reno2 z bei gani?
 
Njoo pm
 
PS3 slim bei gani kwa used na mpya?
AGIZA PLAYSTATION KUTOKA DUBAI

PS3 (used) na pad 2 = 250,000
PS4 (used) na pad 2 = 480,000
PS5 (used) na Controller 2 = 1,050,000
PS5 (mpya) na Controller 2 = 1,400,000
 
UTARATIBU WETU UPO HIVI

Simu hizi ni za kuagiza kwa oda kutoka Dubai.

Tuna ofisi dar es Salaam ambapo mteja atatakiwa kufanya malipo ofisini kisha simu itaagizwa na ikifika dar es salaam atajulishwa kuja kuichukua.

Kama mtu yupo nje ya Dar es salaam basi anatakiwa atume hela kisha ataagiziwa simu na kusafirishiwa mpaka alipo.
AU
Atume mtu wake aliyepo Dar aje ofisini alipie kwa niaba yake kisha simu itakapofika huyo mtu atakuja kuichukua nakukusafirishia.

inachukua siku 3 mpaka 5 kutoka Dubai mpaka Dar es Salaam.

Ofis ipo Mwenge ITV, Dar es salaam
0677 818283
 
iphone 15 128gb = 2,100,000
iphone 15 256gb = 2,300,000
iphone 15 pro 128gb = 2,650,000
iphone 15 pro 256gb = 2,850,000
iphone 15 pro MAX 256GB = 3,200,000
 
Unahitaji mfumo gani boss.
Tumerudi tena. sasa ofisi yetu rasmi ipo
Mwenge ITV
Karibu sana

Japo mfumo ni ule ule malipo kwanza ndio simi inaagizwa.
Huu ndio mfumo mzuri. Ile ya mtu kuja Manzase na kuacha pesa yake akisubiria mzigo toka Dubai ilikuwa haijakaa poa..Wengi wakisikia Manzese wanajua ni wizi tu
 
Nimeona, hili bandiko ni la Julai, 2023 na bei ulizodisplay kipindi hicho ndio hizo hizo unaendelea nazo ina maana hazishuki zimeng'ang'ania hapo hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…