Samsung ikizingua kioo cha amoled uamuzi wa busara ni kununua simu nyingine . kuitengeneza ni matumizi mabaya sana ya pesa.Juzi nimebadili kioo cha Ultra yangu leo naona bei ya kioo inalingana na simu sh*t.... ulikuwa wapi muda wote huo nahangaika..?
Weka mkeka nimtume mtu j3.Muagize jamaa yako yeyote aliyeko Dar aje akuchukulie mkuu
Mangungo style...πMalipo yanafanyikaje
Poa Kaka ipo siku utapata tu mtaji wa kuagiza ili tununulie hapa hapa TanganyikaHatuna Mtaji huo.. Ndio maana service tunayotoa ni kukuagizia tu
Mtu akileta mzigo kwa namna ya kufanya biashara.. Hawez kukuuzia kwa bei hii
Maana kuna makodi na maushuru
FANYA HILI UUZE SIMU NYINGI USHANGAE! NAHITAJI LAKINI NINA HOFU KWELI.Ili uaminike, inabidi ufungue ofisi DAR na mtu analipia ofisini Dar ili apate mtu wa kumkamata kama mambo yakienda ndivyo sivyo!! Watu walishalizwa kwa utaratibu huu!! Vinginevyo utumie utaratibu wa "pay on delivery", yaani mtu alipie baada ya kupokea mali!!
Nipo China plaza hapa na hii namba haipatikaniSamahani kwa kuingilia uzi wako mkuu.
simu tajwa apo juu [Oppo, Vivo, iPhone, Samsung, na Sony] zinapatikana Dukani kwetu kwa bei iyoiyo.
Utofauti tu ni kuwa sisi hatufanyi delivery nje ya Dar unless iwe ni kwa makubaliano maalum..
Tupo kariakoo mtaa wa Aggrey jengo la china plaza floor ya piliπ
0676721373 βοΈ