Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usichokubaliana na mimi ni kipi Mkuu? Kinachokufanya uamini Ebay na Aliexpress hadi utume pesa kwa kununua bidhaa uliyoiona kwenye picha tu ni kipi? Kuna utofauti gani na huyu ambae kaweka hadi namba za simu za anaepokea pesa na mahala anapoishi(Unaweza kwenda au kutuma mtu na kujiridhisha). Tatizo letu kubwa ni mindset ,stereotyping na ugeni wa hizi biashara. Mtu katoa kila kitu na kuna room kubwa ya mteja kujiridhisha kabla hujafanya maamuzi ila unashangaa mtu anakurupuka kumwita mtu tapeli, inasikitisha mnoo.umeeleza vizuri lkn hapo kwenye kufananisha n hao giant sikubaliani na wewe
Utaandika mengi lkn jibu ni moja tu 'hatuwezi kufanana mawazo' mimi sijakataa juu ya biashara anayofanya lkn kujilinganisha na ebay na washirika tajwa hapo juu bado na hata yeye amekiri kuwa atafika huko.Usichokubaliana na mimi ni kipi Mkuu? Kinachokufanya uamini Ebay na Aliexpress hadi utume pesa kwa kununua bidhaa uliyoiona kwenye picha tu ni kipi? Kuna utofauti gani na huyu ambae kaweka hadi namba za simu za anaepokea pesa na mahala anapoishi(Unaweza kwenda au kutuma mtu na kujiridhisha). Tatizo letu kubwa ni mindset ,stereotyping na ugeni wa hizi biashara. Mtu katoa kila kitu na kuna room kubwa ya mteja kujiridhisha kabla hujafanya maamuzi ila unashangaa mtu anakurupuka kumwita mtu tapeli, inasikitisha mnoo.
Whatsapp +971582640133 (yangu Dubai)
Call /sms 0654156671 (namba ya Ofisi dar)
Irizi na Rozali inawezekana ikawa ni kitu kimoja kwa kuzingatia perception ya mtu.Utaandika mengi lkn jibu ni moja tu 'hatuwezi kufanana mawazo' mimi sijakataa juu ya biashara anayofanya lkn kujilinganisha na ebay na washirika tajwa hapo juu bado na hata yeye amekiri kuwa atafika huko.
Au kwa details hizi ndio unataka kumlinganisha na aliexpress?
Mkuu amini watu wa jf wengi ni masikin,wababaishaji na wambea. Wanaweza kukujaza ukijaa wanaleta vijisababu.Mrejesho umekuwa mgum Sana
Safi sana Mkuu. Dawa ya wachawi ni kuwaignore tu.MKEKA MPYA WA GOOGLE PIXEL
3a 64gb = 270,000
4 64gb = 300,000
4a 128gb = 290,000
4 xl 64gb = 370,000
4 xl 128gb = 400,000
5 128gb = 370,000
5a 128gb = 400,000
Whatsapp: +971582640133 (Dubai)
Ofisi Dar : 0654156671
Mnaosubiria negative feedback kutok kwa walioagiza simu kuwa mimi ni TAPELI endeleeni tu kusubiri..😂😂😂
Watu wanaanza kufanya biashara kupitia simu hizi hizi ninazowatumia
Boss nikilipia mzigo leo, inachukua muda gani huo mzigo kufika mkononi mwangu kwa Dar?CAT S62
RAM 4GB
STORAGE 128GB
300,000 TU
View attachment 2722771View attachment 2722772View attachment 2722773View attachment 2722774
AGIZA SASA MOJA KWA MOJA KUTOKA DUBAI
Whatsapp +971582640133
ofisi dar 0654156671
Nina Account Zaidi ya 5 hapa jamiiforums so nawez jipa promo vya kutosha tu kwa account zingine kujifanya wameoda na mizigo wamepokeaa..YULE JAMAA JUMATANO HAIJAFIKA TUU😂😂
Nina Account Zaidi ya 5 hapa jamiiforums so nawez jipa promo vya kutosha tu kwa account zingine kujifanya wameoda na mizigo wamepokeaa..
So kusubiria mtu eti alete mrejeshoo sio kigezo cha Mimi Kunifanya uamin mimi na huduma yangu...
Tafuta njia nyingine