Agiza toyota harrier 2015 kwa bei rahisi zaidi

Agiza toyota harrier 2015 kwa bei rahisi zaidi

Speed limit bongo ni around 60km/hr. Harrier inazaidi ya 200. Wamiliki wa hya madude mwe mnatembea na kuanzia laki 2. Maana fine za over speed ni za kufikia. Ukiigusa tu kidogo yenyewe inakimbilia 60km/hr

Sent using Jamii Forums mobile app

Muongo na acha kupotosha, speed ya kawaida kwa private car ni wewe na gari yako itakavyoamua, unless iwe sehemu ya 50km/hr. PSV ndio hzio mwisho 80km/hr ukiondoa ile 50 ambayo ipo kwenye maeneo maalum
 
Back
Top Bottom