muuza magari
Senior Member
- Jan 17, 2017
- 114
- 190
- Thread starter
- #61
HahahahhahaJamaa asije akawa kageuza Namba!!!! Badala ya 81M yeye kaweka 18M!!!!!
[emoji3][emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahhahaJamaa asije akawa kageuza Namba!!!! Badala ya 81M yeye kaweka 18M!!!!!
[emoji3][emoji3][emoji3]
Model gani?
Mwambie harrier zipo za aina nyingi. Kuna tym watu walikua wanafananisha na Lexus.Mpe hongera sana kwa kununu hiyo gari kwa 18M
bei kubwa mno jamaa kanunua almost the same na hiyo, for 18M!
Mkuu usisemee mifuko ya watu...shida zetu hazifanani bana...Magufuli hajabadilisha kitu..weny pesa wanaenjoy tu...kipindi cha magufuli, unatoa miliono themanini na kitu kununua harrier? si bora ningenunua gari nyingine hata ya kwenda nay shamba?
Ila unaweza ikagharimu tshs ngapi mkuu ?Hatuna kwasasa kwenye stock zetu
Mmmmh labda harier ya 2005 hii ni new model 2015 bababei kubwa mno jamaa kanunua almost the same na hiyo, for 18M!
Watz ni 'much know' sana aisee...af tunalalamika sana..yani ukisoma comment apa nyingi zimejaa ujuaji na kulalamika..ooh bora ninunue shamba..ooh noah 7...ooh range vogue...ooh milioni 18...ooh mwizi. Mhuni...wengine wanawakatisha tamaa wengine..andaa 200k ya fine sababu ya speed limit
Yaan inaonyesha n watu tisio na malengo ya maisha...kama wewe huwezi achia wanaoweza..kama una pesa ya shamba fungua thread ya wanaouza mashamba...tuache ujuaji