Runx zinaanzia milioni 10.8 mpaka milioni 14 kwa new modelToyota runx mpaka mkononi kiasi gani Cha pesa?
Suzuki carr..mpaka mkononi bei gani..ya kwanzia mwaka 2002 kuja juu
Jeep wrangler ya 2011 mpk mkononi bei gani
rav 4 kilitime manual gear,vvti i1z bei gani mkuu hadi usajili