Agizo la kwanza la Trump kwa Zelensky kwamba ajikite kwenye kutafuta amani siyo yale maeneo

Habari njema hii bwana Trump ampa maelezo Zelesky ajikite kutafuta amani na siyo kurudisha maeneo Kwa hiyo Yale majimbo ya kilimo cha ngano baibai Kwa heri ya kuonana na bandari ya kimkakati Kwa heri.
Best wishes Mr Trump.
Vyovyote ilivyo rais wa USA hawezi kuwa juu ya mifumo , akileta ujua miezi 6 ni mingi sana
 
Habari njema hii bwana Trump ampa maelezo Zelesky ajikite kutafuta amani na siyo kurudisha maeneo Kwa hiyo Yale majimbo ya kilimo cha ngano baibai Kwa heri ya kuonana na bandari ya kimkakati Kwa heri.
Best wishes Mr Trump.
Ukraine watakuwa wapumbavu wakikubari upuuzi wa trump.

Hawana Nchi nyingine isipokuwa Ukraine
 
Imeishaa hiyoo
Mwenye kununa anune tuuu
 
Habari njema hii bwana Trump ampa maelezo Zelesky ajikite kutafuta amani na siyo kurudisha maeneo Kwa hiyo Yale majimbo ya kilimo cha ngano baibai Kwa heri ya kuonana na bandari ya kimkakati Kwa heri.

Best wishes Mr Trump.
Ngumu kumeza hii kwa rais wa Ukraine. Atawaomba European Union iendelee kumpa silaha
 
Zelensky asikubali maana Russia atanogewa na kutaka kujitwalia maeneo mengine.
 
Mi naona bora abakiwe na eneo kuliko kukomaa na huoni dalili za kukomboa zaidi ya kumaliza nguvu kazi
Hapo anaweza kubaki kwenye defence mode ikawekwa kabisa kwenye sera ya nchi siku wakipata nguvu wanakiwasha tena kudai maeneo Yao mpaka yarudi yote kila mtu abaki na ardhi yake.
 
Back
Top Bottom