4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Vyovyote ilivyo rais wa USA hawezi kuwa juu ya mifumo , akileta ujua miezi 6 ni mingi sanaHabari njema hii bwana Trump ampa maelezo Zelesky ajikite kutafuta amani na siyo kurudisha maeneo Kwa hiyo Yale majimbo ya kilimo cha ngano baibai Kwa heri ya kuonana na bandari ya kimkakati Kwa heri.
Best wishes Mr Trump.
Ukraine watakuwa wapumbavu wakikubari upuuzi wa trump.Habari njema hii bwana Trump ampa maelezo Zelesky ajikite kutafuta amani na siyo kurudisha maeneo Kwa hiyo Yale majimbo ya kilimo cha ngano baibai Kwa heri ya kuonana na bandari ya kimkakati Kwa heri.
Best wishes Mr Trump.
Mi naona bora abakiwe na eneo kuliko kukomaa na huoni dalili za kukomboa zaidi ya kumaliza nguvu kaziUkraine watakuwa wapumbavu wakikubari upuuzi wa trump.
Hawana Nchi nyingine isipokuwa Ukraine
Ngumu kumeza hii kwa rais wa Ukraine. Atawaomba European Union iendelee kumpa silahaHabari njema hii bwana Trump ampa maelezo Zelesky ajikite kutafuta amani na siyo kurudisha maeneo Kwa hiyo Yale majimbo ya kilimo cha ngano baibai Kwa heri ya kuonana na bandari ya kimkakati Kwa heri.
Best wishes Mr Trump.
Kwanini waamuliwe mambo Yao na nchi nyingine. Mimi namkubali Putin lakini kwenye ishu ya Ukraine hawatakiwi kuachia ardhi Yao ile dhulma kabisa inafanyika hapo ni kupigana mpaka mwisho.Ukraine watakuwa wapumbavu wakikubari upuuzi wa trump.
Hawana Nchi nyingine isipokuwa Ukraine
Nenda tu mzee usha itwa huko [emoji23][emoji23]Unanipenda?
Hapo anaweza kubaki kwenye defence mode ikawekwa kabisa kwenye sera ya nchi siku wakipata nguvu wanakiwasha tena kudai maeneo Yao mpaka yarudi yote kila mtu abaki na ardhi yake.Mi naona bora abakiwe na eneo kuliko kukomaa na huoni dalili za kukomboa zaidi ya kumaliza nguvu kazi