Hii Corona tunayo na tumeishi nayo, nchi zilizochukua tahadhari za kufungia watu ndani kama India ndio zinazidi kuwa nayo, sasa ni uwendawazimu kuamini kwamba hizi tahadhari leo miaka miwili baadae ndio zitamaliza tatizo, infact tatizo lenyewe halipo hapa kwetu, tunapigana na kivuli kwa kelele za majirani, tuishie hapa.
Unaonaje kama tungekuwa wakarimu zaidi tukaenda kabisa kuwasaidia kuwauguza na hata kuwapa nasaha za siri ya mafanikio yetu. Au tukawaleta huku wakafanya na utalii wa nyungu?
Si unajua vigogo wetu wakiugua huponea kwao? Nasi wanaweza kuponea kwetu. Kutesa si kwa zamu mkuu?