Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mimi nashangaa kwamba wanaweka hizo restrictions kuzuia wahindi ma wengine wenye Corona kwao? How wakati sisi walidai ndio kitovu, kweli unazuia mtu asimwage ndoo ya maji baharini kisa eti bahari utafurika? Seriously? Hivi hawa viongozi huko wizarani wanatumia akili zilizopo kichwani au hua kuna akili za akiba kwenye kiungo kingine cha mwili?!Wakimbilie kwenye nchi ambayo tuliambiwa tutatengwa kwasababu corona imesambaa na hatuchukui tahadhari!
Lakini tahadhari ni muhimu. Sioni cha ajabu hapo tunajikinga na maambukizi kutoka nje.Ndio mimi nashangaa kwamba wanaweka hizo restrictions kuzuia wahindi ma wengine wenye Corona kwao? How wakati sisi walidai ndio kitovu, kweli unazuia mtu asimwage ndoo ya maji baharini kisa eti bahari utafurika? Seriously? Hivi hawa viongozi huko wizarani wanatumia akili zilizopo kichwani au hua kuna akili za akiba kwenye kiungo kingine cha mwili?!
Na Tanzania Corona imeisha sababu ya nini? Kifo cha mwendazake? 😂😂 utaahira mwingine huu, acheni tu
Alitujenga kisaikolojia umeshaona Mtz yyte anaogopa coro...
unaweza nilitea uthibitisho wa kisayansi kwamba Tanzania haina Corona?Kama ungekuwa Una tumia AKILI yako vizuri.
Ungejiuliza kwanini Tanzania HATUVAI Barakoa wala kutumia sanitizer na Corona HAIPO.ungekuwa umefanya Jambo la maana sanaaa..
mbona babaako jiwe imemchomoa au unadhani hatujui namwenzako alikua na akili Kama zako leo yupo akhera madukani akiongoza malaika!Ohh tunakufa sijui nini.....
Acheni kujaza watu hofu nyie vigagula.
Kama mnafaidika na MIRADI ya chanjo za wazungu, mwaka huu mtafeli tena sana.
Na mtanzania yeyote mwenye akili timamu asikubali kamwe kupewa hayo machanjo ya ajabu ajabu.
Watu waendelee kuchapa kazi, msituletee hofu za kutengeneza.
Mara ohh tunakufa sijui nini nini! Mbona mama yako hajafa!?
unaweza nilitea uthibitisho wa kisayansi kwamba Tanzania haina Corona?
Yaani watu Kama nyie inawezekana hua mnaangalia hata magonjwa mengine kwa makadilio ya macho yenu
Hivi kwafano utamjuaje mtu mwenye maambukizi ya virusi vya HIV pasipo kumpima kwanza?
Au ndio utakuja na porojo zako zile zile mbona watu wote wapo vizuri tu wana afya nzuri sababu hawana dalili za ugonjwa wowote na wamenenepa kweli kweli hivyo wapo salama!
Ndio maana nasema huna ushahidi wa kisayansi kwamba hakuna corona ila umekumbatia propaganda za mtu pori corona haipo sababu ya maombi!
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Itoshe tu kusema kwamba, huwa sijibizana na watoto.mbona babaako jiwe imemchomoa
Yamewakuta kitu gani?Kumbe wahindi kule yamewakuta kwa sababu wanaiogopa?
Hiiiiii bagosha?
Nyumbu bwana!Aliyekwambia Tanzania Corona imekwisha nani?
Kwanini tume isitupe taarifa hiyo kuwa Tanzania Corona imekwisha tukaishi kwa amani?
Au ni kukaa tanroads tu kuanza kuota ndoto za mchana?
Hapana jamanii,.kutulia nashindwa😩😩Tulia weye tulia dada..🤣
Ndio na mimi nashangaa kuumiza uchumi kwa kiasi kikubwa namna hii ili kuzuia tone moja la mvua lisikudondokee wakati umeshaloa chapachapa, kama si utaahira ni nini?Lakini tahadhari ni muhimu. Sioni cha ajabu hapo tunajikinga na maambukizi kutoka nje.
Sasa kwanini mnasema mnazuia wahindi wasije wakakimbilia Tanzania ili kukwepa Corona kwao wakati sisi hatukuwa tunachukua Tahadhari means sisi ni kitovu cha Corona, leo imekuwaje tena tuzuie watu kwamba watatuambukiza wakati sisi ndani tayari tunamaambukizi yasiyopimika? Where is the logic? Where is the common sense?Aliyekwambia Tanzania Corona imekwisha nani?
Kwanini tume isitupe taarifa hiyo kuwa Tanzania Corona imekwisha tukaishi kwa amani?
Au ni kukaa tanroads tu kuanza kuota ndoto za mchana?
Kusema kila mgeni anaeingia apimwe kunaumiza vipi uchumi? Au kuna lockdown inakuja sijaisikia?Ndio na mimi nashangaa kuumiza uchumi kwa kiasi kikubwa namna hii ili kuzuia tone moja la mvua lisikudondokee wakati umeshaloa chapachapa, kama si utaahira ni nini?
Au nikutulize..😜Hapana jamanii,.kutulia nashindwa😩😩
Unapomwambia mtalii/ mgeni akae Karantini kwa siku 14 tafsiri yake ni nini? Kwamba baada ya siku 14 asipoonesha dalili ndio unamruhusu kwenda mbugani, unafikiri kuna mtu anapemda kufungiwa siku 14 tena kwa gharama zake? Kuna chizi wa kuja kuchezea pesa zake hivyo kwa hali ya sasa? Mzungu chizi wa hivyo atoke wapi?Kusema kila mgeni anaeingia apimwe kunaumiza vipi uchumi? Au kuna lockdown inakuja sijaisikia?
Huku ni lazima ukiwa maeneo ya watu mimi hapa nimetumia barakoa mwezi wa tatu huu...na maisha yanaendaMatumizi ya barakoa kuwa lazima? Hell no