mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Kama Una ushahidi alikufa na Corona weka hapa.
Kaishinda Corona ipi wakati imemlaza futi 6 ardhini??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaishinda Corona ipi wakati imemlaza futi 6 ardhini??
kama una hasira sana nenda kalale juu ya kaburi lake hapo chato ila hakikisha unavaa mask.Kama Una ushahidi alikufa na Corona weka hapa.
Tulia weye tulia dada..🤣Kila mtu abaki nchini kwake jamanii,..ni nini lakiniii...aah,
kama una hasira sana nenda kalale juu ya kaburi lake hapo chato ila hakikisha unavaa mask.
nachojua corona imemfyekelea mbaliHuna ulijualo.
Havijaisha.si unaona tunalazimishwa kupewa chanjo.wakati wao wenyewe chanjo haziwasaidii
Huna habari kuwa India Chanjo inatengeneza na kwenye mipangilio iliyokuwapo na WHO kulikuwa na mgawanyo wa kimakusudi kunufaisha nchi zote.
Ila kutokana na hali mbaya iliyoko huko hivi sasa chanjo zote hazitoki tena India kwenda nchi nyingine na bado haziwatoshi wao wenyewe?
Usisahau India population ni 1.3bn+.
Kuidunisha chanjo hali hatuna utaalamu huo ni kuuvaa u msukuma na u bajaji bila ya kuwa na aibu.
nachojua corona imemfyekelea mbali
Sawa waendelee kutumia chanjo.
Sisi Acha tubaki na MUNGU.
Sisi ni nani? Na tunaoihitaji chanjo tumo kwenye hiyo sisi?
Mbona hivyo?
India ni nchi inasifika sana kwenye maendeleo ya mambo ya afya...naamini hata chanjo hawakua nyuma. Ikiwa kwao hali iko namna hii, kwetu itakuwaje?
Lakini pia napata ukakasi kuhusu chanjo, inamaana haikua na matokeo chanya yaliyotarajiwa au huu ugonjwa hausikii chanjo?
Sisi ni nani? Na tunaoihitaji chanjo tumo kwenye hiyo sisi?
Mbona hivyo?
Ulishawahi kuumwa Corona?
Mama Samia na yeye pia haelewi chochote kuhusu CovidHii ni habari njema ya wokovu kutoka katika serikali ya awamu ya sita.
Heko Mama Samia tunategemea kusikia hatua zaidi kwa afya zetu.
Mwendazake alituweka hatarini sana.
Hiiiiii bagosha!
Kuumwa Corona siyo sifa jombi ndiyo maana muhimu kuweka jitihada watu wasiugue.
Maisha lazima yaendelee mikusanyiko iwepo watu watumie vitakasa mikono (iwe lazima). Barakoa apendaye avae, tusilazimishwe. Binafsi, natumia sanitizer way back kabla hata ya Corona pamoja na zile antibacterial wipes. Sipendi salamu za kushikana mikono. Waafrika tu wachafu sana.Mama Samia na yeye pia haelewi chochote kuhusu Covid
Alituasa tujihadhari kwa kuvaa barakoa na kuepuka mikusanyiko.
Aliyasema hayo kwenye mkusanyiko wa mashehe na maaskofu kwenye dua ya marehemu.
Tuepukeje mikusanyiko wakati WEWE MWENYEWE UNAKUSANYA MIKUSANYIKO ???
Sasa kwa akili Kama za mataga kwa nini nisijione na akili kuwazidi ?Na ww unajikuta una akili mingi, eti
Mama Samia na yeye pia haelewi chochote kuhusu Covid
Alituasa tujihadhari kwa kuvaa barakoa na kuepuka mikusanyiko.
Aliyasema hayo kwenye mkusanyiko wa mashehe na maaskofu kwenye dua ya marehemu.
Tuepukeje mikusanyiko wakati WEWE MWENYEWE UNAKUSANYA MIKUSANYIKO ???
we jamaa hio I'd yako inasadifu kilicho kwenye ubongo wako Sasa huyo magufuli aliyeishinda Corona yupo wapi muda huubila Shaka.
ILA kaa ukijua . MISIMAMO MIKALI YA MAGUFULI JUU YA CORONA.
Ndo imetufanya tuwe salama dhidi ya Corona.
usidhani hyo barakoa na chanjo na sanitizer vinaweza kukulinda na Corona.
basi wangepona ulaya na marekani na Asia.
NI MUNGU TU.