mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Kuna wagonjwa wangapi wa Corona hapa Tanzania?
Alishindaje mkuu? Tukumbushe tafadhari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alishindaje mkuu? Tukumbushe tafadhari
Mnatishana Sanaa.
Msikariri.mlisha tabiri Sanaa kuhusu Tanzania juu ya Corona lakini MNAFELI
Why serikali iko kimyaa??
Kuna jamaa alikuwa analeta thread za Corona kila siku humu JF sijui kapotelea wapi?
Palikuwa na hoja mbili za wazi tu hukujibu hata moja. Mtu mzima hatishwi hutishwa watoto wadogo.
Kuelezwa uwezekano wa hatari ni kutahadharishwa.
Apumzike kwa amani mwendazake ambaye tahadhari alizidhania ni kutishwa vita vya kiuchumi dhidi yake.
Kufa ni ahadi na wenye akili timamu hujilinda ili kuepuka maambukizi ya aina yoyote ili kwa kuvaa ndom, kuchemsha maji, kuweka vyandarua etc. Huo ni ufinyu mkubwa wa akili kuona ugonjwa uliowaua binadamu zaidi ya milioni 3 in less than 18 months na hivyo kuua watu wengi duniani kuliko ugonjwa wowote ule kwa zaidi ya miaka Mia unafanyiwa promo.
Maybe inatumia fursa ya corona kupiga mpungaWhy serikali iko kimyaa??
Halafu wanaopiga kelele hawana ujuzi wa kitabibu,wanafuata mkumbo tuTuko kama tumerogwa hivi. Yale yale ya Jobo na mabeberu na vita vyao vya kiuchumi dhidi ya Tanzania.
Nyambafu!
Kwani gonjwa lina masikio na macho kiasi linaweza kukasirika na hata kutibuka?
Mbona shughuli?
Alitujenga kisaikolojia umeshaona Mtz yyte anaogopa coro...Alishindaje mkuu? Tukumbushe tafadhari
Alishakufa kwa CoronaKuna jamaa alikuwa analeta thread za Corona kila siku humu JF sijui kapotelea wapi?
ulishajiuliza kwanini watanzania hawavai barakoa,hawanawi mikono,hawatu
mii sanitizer,wanajazana kwenye magari lakini Corona hamna?.
Kitu ambacho magufuli alichokifanya kujitokeza hadharani na kutamka kuwa "JANGA LA CORONA ANAMUACHIA MUNGU"
huo ndo ushindi wa magufuli.
Mungu hawezi kumuangusha MTU anayemtegemea Kwa dhati.
magufuli kujitegemeza Kwa mungu ndo ushindi wote huu unaouona.
HII NI VITA KATI YA MUNGU NA SAYANSI.
ngoja tuangalie Nani atashinda.
Wala haikuwa vita ya kiuchumi ya mabeberu dhidi ya Tanzania? Imebadilika na sasa Mungu yuko vitani kuanzia lini?
Tangu mlipoanza kusema MUNGU hawezi kuondoa Corona.na badala yake tutumie njia za kisayansi
Tumeongea sayansi tokea day 1 hatujakoma kusema hivyo. Sasa vita vya kiuchumi viliisha lini?
Matumizi ya barakoa kuwa lazima? Hell noTanzania kwa wananchi waliopo ndani watangazieni watumie barakoa hali sio shwari na iwe lazima hiyo rapid test kazungura iliwachanganya mtu huyo huyo mmoja asubuhi akipima ana corona jioni hana tena ile wave two wakati imekomaa wakaacha kupima wakawa wanabaki kusoma majibu ya kipimo cha UTH Lusaka..inatakiwa kusitisha safari za ndege kutoka na kuingia India au Brazil kama zipo...
Matumizi ya sanitizer au kunawa na kupunguza misongamano isiyo ya lazima..
Kila ofisi au duka iwekwe sanitizer au maji ya kunawa na sabuni..
Kupunguza misongamano kwenye vyombo vya usafiri wa ndani..
Kupunguza misongamano huko polisi..
Watu waache kusalimiana kwa kushikana mikono...
Mechi ya Simba vs Yanga washabiki waruhusiwe wachache tuu..
Kuhamasisha matumizi ya barakoa kuwa ya lazima..
Na ww unajikuta una akili mingi, etikwa akili Kama zako,Kama taifa tuna safari ndefu aiseee daaaaa
Usikute na wewe unaitwa mume,baba,mjomba mkubwa
Daaaaa kazi ipo wazeee![emoji849][emoji849][emoji849]
Kaishinda Corona ipi wakati imemlaza futi 6 ardhini??Yes .kwamba huyo mwamba huyo aliyeitingisha dunia Kwa misimamo mikali juu ya Corona.na AKASHINDA.