Agizo: Wasafiri watakaoingia nchini watakaa karantini siku 14 kwa gharama zao

Agizo: Wasafiri watakaoingia nchini watakaa karantini siku 14 kwa gharama zao

Kama ungekuwa Una tumia AKILI yako vizuri.
Ungejiuliza kwanini Tanzania HATUVAI Barakoa wala kutumia sanitizer na Corona HAIPO.ungekuwa umefanya Jambo la maana sanaaa..
we jamaa hio I'd yako inasadifu kilicho kwenye ubongo wako Sasa huyo magufuli aliyeishinda Corona yupo wapi muda huu
Aiseee watu wengine mna akili za kushikiwa wallah daaaaa kazi ipo
Et aliishinda korona kwa maombi
Yaani propaganda nyingine buana ina maana hizo nchi wanaokufa na Corona hawamjui huyo mungu au ndio kusema nyie wabongo ndio mna undugu na huyo Mungu?

Tuna safari ndefu sana!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
HOFU imeanza kutengenezwa kwa makusudi maalumu.

Nawacheki tu nasema hiiiiiii...

Bhaghoshaa!
 
Ni hatua nzuri. Hata hivyo, hao wa kitanzania nani ana uhakika watajitenga huko majumbani kwao.
Hapo kwa Watanzania kachemka! Watanzania ni Careless by nature! Wataenda kuua watoto na mama zao au baba zao!

Wao nao wangetengewa eneo wakae kwanza kwa thorough checkups!
 
Kama chanjo ingesadia watu kutopata Corona basi wagonjwa wangepungua.

Hujasikia kuwa UK na Israel ugonjwa umepungua kwa sababu ya chanjo?

Hakuna corona yoyote ni ujinga mtupu huu!

Kwa kweli Magufuli ni chuma cha pua!

Haya maswahili swahili yaliyopo sasa ni pazia tu!
Tumeishi mwaka mzima bila hizo restrictions, ila leo ndio wanasema wahindi watakimbilia huku kukwepa ugonjwa kwao, sasa iweje wakimbile huku ambako hatukuwa tukichukua tahadhari? Si walitakiwa watuogope kwamba tuna corona? Magufuli alikuwa na maono ya kinabii
 
Kwa hyo hizo chanjo zinafanya KAZI UK na Israel tu
Hujasikia kuwa UK na Israel ugonjwa umepungua kwa sababu ya chanjo?

Tumeishi mwaka mzima bila hizo restrictions, ila leo ndio wanasema wahindi watakimbilia huku kukwepa ugonjwa kwao, sasa iweje wakimbile huku ambako hatukuwa tukichukua tahadhari? Si walitakiwa watuogope kwamba tuna corona? Magufuli alikuwa na maono ya kinabii
Mkuu, hapa tumepigwa!
 
Hujasikia kuwa UK na Israel ugonjwa umepungua kwa sababu ya chanjo?

Na Tanzania Corona imeisha sababu ya nini? Kifo cha mwendazake? 😂😂 utaahira mwingine huu, acheni tu
 
Tumeishi mwaka mzima bila hizo restrictions, ila leo ndio wanasema wahindi watakimbilia huku kukwepa ugonjwa kwao, sasa iweje wakimbile huku ambako hatukuwa tukichukua tahadhari? Si walitakiwa watuogope kwamba tuna corona? Magufuli alikuwa na maono ya kinabii
Wakimbilie kwenye nchi ambayo tuliambiwa tutatengwa kwasababu corona imesambaa na hatuchukui tahadhari!
 
Hujasikia kuwa UK na Israel ugonjwa umepungua kwa sababu ya chanjo?

We jamaa jinga sana!
 
korona iliyopo india ni balaaa inapukutisha hatari
wangepiga ban ndege za kutoka India na Brazil na wasafiri waliotoka India na Brazil wangeanza na Atcl inatoenda India simamisha kwanza kwa muda.
 
Back
Top Bottom