Hii Corona tunayo na tumeishi nayo, nchi zilizochukua tahadhari za kufungia watu ndani kama India ndio zinazidi kuwa nayo, sasa ni uwendawazimu kuamini kwamba hizi tahadhari leo miaka miwili baadae ndio zitamaliza tatizo, infact tatizo lenyewe halipo hapa kwetu, tunapigana na kivuli kwa kelele za majirani, tuishie hapa.
Umeandika wewe au umeandikiwa?Lile liuaji hata uliamsheje haliwezi kuamka. Mungu kaliweka sehemu isiyojulikana.
Mungu wetu ni mwema sana, ametutendea mambo makuu... Sisi ni nani hata tusimshukuru?
Niandike kea herufi kubwa?
Wote waliopitia NCHI zenye maambukizi hatari kama India / Watakaobainika kuambukizwa wote ni KARANTINI.Travelers subjected to mandatory quarantine....sio wasafiri wote au mimi ndio sijaelewa ndugu mleta taarifa?!
Unafiki mkubwa sana huo, leo upo hapa unaandika na ulienda kwenye mishe zako toka corona ilipotangazwa duniani na hujawahi kujifungia kisa upo hatarini....
Mwendazake alituweka hatarini sana.
Unafiki mkubwa sana huo, leo upo hapa unaandika na ulienda kwenye mishe zako toka corona ilipotangazwa duniani na hujawahi kujifungua kisa hupo hatarini.
Usionyeshe tabia yako hadharani kwa issue zinazoweza kukuumbuwa😬!.
Unafiki mkubwa sana huo, leo upo hapa unaandika na ulienda kwenye mishe zako toka corona ilipotangazwa duniani na hujawahi kujifungia kisa upo hatarini.Ninayo hata sababu ya kupoteza wakati kubishana na wewe malaika mtu unayejidhania kuwa uko vizuri sana?
Kwani unadhani waliosema na ajiaangalie yeye ajidhaniaye kuwa kasimama vilivyo, hawakujua yatakuwapo tu mamburula kama wewe muda fulani katika maisha?
Hiiiiii bagosha!
Komaa kivyako vyao jombi wala usitufokee. Foka foka peleka nyumbani kwako uliko na mamlaka yako kama mheshimiwa Mungu 😂!
Unafiki mkubwa sana huo, leo upo hapa unaandika na ulienda kwenye mishe zako toka corona ilipotangazwa duniani na hujawahi kujifungua kisa upo hatarini.
UMUHIMU WA MTU HUONEKANA AKIONDOKATilaki I miss him already
aiseee nakuona nakuona
We are in the right track