TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Matoleo ya kafara za kuhamisha mawazo ya watu kuelekea 26/4
Naona kiki za wiki iliyopita hazijatosha na pia ajali za mabasi mfululuzo ikiwemo basi kuungua juzi likiwa na abiiria Ndani bado haitoshi

Kuelekea wiki ijayo ma super star kuweni Makini mtatolewa Sana sadaka kama hii ya Masogange haitatosha kusababisha social media zisahau 1.5 t na 26 April

Paulo kamtoa demu wake kafara

Mungu amrehemu Binti wa watu
 
Na msambwanda wote ule.... Kweli malipo ni hapa hapa... ⚰ Rip Agie hukuacha hata wa kusingiziwa.... Utakutana nao huko akhera wale uliowatanguliza
Mimi mwenyew nimewaza kama wewe ....unaenda kuliwa na nyenyele
 
nmekumbuka miaka ha nyuma kabla sijafuta account Instagram nlikua haipiti siku bila Ku like msambwanda wake. Bora angekufa diva
 
Mrembo wetu mwenye shape mwanana Agnes Gerald (Masogange) amefariki jioni hii. Chanzo cha kifo hakijajukikana bado.
Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe
Daftari litapitishwa fasta hawa mastar hawanaga ndgu mijini
 
Aende huko kunako mstahili tu

Ova
hahaaa huko hapa chagui mtu MZee"" amekwenda nyerere"" kwame nkurumah"" jf Kennedy"" farao (rammises) itakuwa masogange"" ukweli uliomchungu ni huu"" hata mimi nawewe tupo kwenye foleni ""
 
HAPOOO KWA WALE WAZEE WA KUBET

G KACHEZA NGUMU KUMEZA
 
Back
Top Bottom