TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Wameona wamtangulize maana angetaja mabosi wake wanaomtumiaga kwenye kusafirisha ngada. Ni kama yule aliyesema Lowasa ni baba yake, alipotaja tu na kuomba msamaha mabosi wamemgeuka, sasa anacheza segere la Polisi peke yake.

All in all, RIP.
Ndipo tulipofikia. Wakaondoka wengi kwa njia za ajabu ajabu.
 
Halafu huko ni kuzuri ndo maana ndugu zetu wakienda huko hawarudi huku kuisoma namba,
hahaaa "" kwanza kitendo chenyewe cha kuletwa huku kimejaa ubinafsi "" maana unapata akili unashtuka umeshaletwa tu "" pasipo wewe muhusika kushirikishwa ""
binaadamu akizaliwa huwa analia kwa sababu hajazaliwa kwa ridhaa yake ..na akifa huwa anatapa tapa kwa sbabu hataki kuondoka sehemu ambayo Tayari alishaizoea kimazingira ....
 
Nimewaza pia hivyo, inasemekana Mungu wa dar amemsumbua sana toka waachane watu wake wa karibu wanasema kila siku anamletea mapicha mara amnyang'anye vitu nk labda aliogopa angetoa siri zake
Inamaana ilikua kichwa chake nn kile
 
Kikubwaaaa ninachosisitiza nyie mliobaki muangalie rohoo zenu zinaenda wapi aijalishi alifanya nini mungu mungu wa rehema pale alipopata mtu wa kumwongoza sala ya toba kabla ajafa((siriyakoo)))

Hippo nafasiii apewi kila mtu wapendwaa leoo mtakumbuka mabayayakee kumbe ameshatengeneza maisha yake na mungu wake swali je utakufa mazingira gani sio tu kila mtuyukonjia moja...Njiayakoo sio kama yangu

nshakasirikaaaaaa na kama kufwataamuanzenyieeekwanzaaatuwalazepanapostahiliiilaamwenzenuu amerekebishamaishayake namungu wake....

Sikiaa wewe unaesomaa leoo hii mbinguni akuna jamiiforums tukawasiliana kama umefika uko amalah ..La hasha badili maisha yako badilo mwenendowakoo sikuya mwishoo kila mtu atahukumiwa sawa na matendo yakeee rekebisha sasa ...Nakupa dk mbili za kusali uwezi jua baada ya kusoma hapa unaenda kukutana na nini

Sema

Baba yetu ulie mbinguni natubu dhambi zangu zote nilizofanya kwa kuwaza kunena na kutenda naomba unisafishe kwa damu yako ya thamani niishi maisha yanayokupendeza nikuone wewe mungu siku ya mwishoo

Amen...Washa gariyako ufike salama kama unaendelea kusubiri mwendokkasi uwe na amani uko huru hata ukifa hapo kituoni
 
mademu wa mjini ndio desturi yao now days...sasa kama wamuona masogange anadhambi kwaliwa 0712"" vipi kuhusu viongozi wanao sabbisha migogoro baina ya nchi na nchi mpka kufikia ya watu kuuwana na kumwagana mapia ya damu ktika hii ardhi"" trust me hiyo dhambi uliyoisema hapo watu wengi mnoo huwa wanaishiriki ila kwaajili ya unafki wao wanaficha tu """
Kama na hiyo dhambi basi karibia 75% ya wadada wa mjini wanayo
 
Nasoma comments zenye negativity juu ya huyu dada, kwa nini alikuwa anachukiwa?

Ila aisee this world, unakufa and the pictures that emerge ni kuonyesha takko lako, kila ninaposoma ni picha ya takko lake tu.
 
Back
Top Bottom