Pole mkuuu jana uliniandama mno dah!!!Leo i feel pain sana.. I lost an asset, she is so good, well blessed, heavy bottomed & anajua kuchanua mkia yaani..😱😱😱😱 basi tu Bye byee Agiii ..!! Agii kweli umeondoka? Dah😳😳
Kweli alikua ametulia. dah kama alikua ameanza kumkumbuka mungu labda kuna kitu alikua ameshaona aiseNgoja tusubiri tutasikia mengi, kuishiwa damu na homa ya tumbo inawezekana ni mpango wa Mungu
Mwenyewe juzi alihojiwa kasema nimeolewa nimemrudia Mungu ndio maana nipo kimya na status zake ni bible tu I hope amepata mwisho mwema mbele ya hakimu mkuu
Angalia hapo juu #3Aisee .. R.I.P msambwanda.
Ametuachaje achaje sasa
Mzee mwenzangu vipi hukupita pale?
[emoji28] [emoji28]Yaan itafikia hatua ukicheka tu unaambiwa unazima maandamano
Itaje basi tujueDaah alafu ni Member mwenzetu humu, anashinda muda mwingi MMU cjui niitaje Id yke jaman.kweli life is too short
Mijitu Humu minafki sana chiefSio apunzike kwa amani, apunzike mahala panapostahili. Wewe kama nani unataka akapunzike kwa amani wakati huo pengine hastahili hata kidogo mapunziko ya amani huko aliko hivi sasa?
Watanzania muwanafiki sana!
Huyu binti apunzike panapomstahili kabisa.
Tutajua tu badae ukweli muda husema yoteKweli alikua ametulia. dah kama alikua ameanza kumkumbuka mungu labda kuna kitu alikua ameshaona aise
Kaka mbona tena malipo hapahapa. Kunani tena?Na msambwanda wote ule.... Kweli malipo ni hapa hapa... ⚰ Rip Agie hukuacha hata wa kusingiziwa.... Utakutana nao huko akhera wale uliowatanguliza
Tutajie jamani walau tukatembelee hiyo IDDaah alafu ni Member mwenzetu humu, anashinda muda mwingi MMU cjui niitaje Id yke jaman.kweli life is too short
UmeanzaKafa na nini?
Agiiiii..., Agiiiiiiiii... daah basi tuYaan watu wakiwa hawakupendi utapewa lolote lile
Nimekumbuka ile sautii Agyyy
kwann unahisi huu msiba umewagusa wanaume?
wewe hujaumia kuona mwanamke mwenzako aliyeacha mtoto mdogo amekwenda?
wewe haijakuumiza kuona kijana mdogo wa miaka 29 akipoteza uhai wake just like that huku ndoto zake zikizima kama mshumaa?
Me naona ifike mahali tuwe na staha katika maandishi yetu sababu sotw ni binaadam na sote ni njia moja, pia tujue kua kifo ni mawaidha kwa wanaobaki,
Agness amefariki hospital kwa Typhod na Anemia hujui wewe utakufaje na wapi, utapondwa na roli uwe kama chapati watu wakuogope hata kukushika, utaungua na moto hata kuoshwa iwe shida uvishwe plastic, utakufa baharini uwe chakula cha samaki watu wasione maiti yako,
utakufa kwa kipindu pindu ndugu washindwe kukuzika uzikwe na city huku wamevaa mask na gloves.
Yote hayo mjitafakari kabla msiba wa mwenzenu hamjaugeuza kua wa kimajungu na fitna.
Message hii iende kwa wote waliodiss kuanzia comment za mwanzo mpk wanaoendelea kudiss.
Am out.
Jimbo limepata mbungeWe acha tu, alooo nifanye mpango wa kupata copy aiseee maana nikidanja sasa hivi nasahaulika in 40 days, lakin kakiwepo ka dogo janja angalau jina langu litaishi.
[emoji22][emoji22][emoji22]