TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Ngoja tusubiri tutasikia mengi, kuishiwa damu na homa ya tumbo inawezekana ni mpango wa Mungu
Mwenyewe juzi alihojiwa kasema nimeolewa nimemrudia Mungu ndio maana nipo kimya na status zake ni bible tu I hope amepata mwisho mwema mbele ya hakimu mkuu
Kweli alikua ametulia. dah kama alikua ameanza kumkumbuka mungu labda kuna kitu alikua ameshaona aise
 
Sio apunzike kwa amani, apunzike mahala panapostahili. Wewe kama nani unataka akapunzike kwa amani wakati huo pengine hastahili hata kidogo mapunziko ya amani huko aliko hivi sasa?

Watanzania muwanafiki sana!

Huyu binti apunzike panapomstahili kabisa.
Mijitu Humu minafki sana chief
Kuna mtu Humu anakwambia anashindwa Hata kuongea mijinga kabsa.....

Ova
 
"Wakati wa kufariki hatumiliki kibeto, mali tunazomiliki huwa nyara na mawindo, bali hazinyang'anyiki sifa zetu za matendo, matendo ni kumbukumbu ya mtu kukumbukiwa" Shaaban Robert
 
kwann unahisi huu msiba umewagusa wanaume?
wewe hujaumia kuona mwanamke mwenzako aliyeacha mtoto mdogo amekwenda?
wewe haijakuumiza kuona kijana mdogo wa miaka 29 akipoteza uhai wake just like that huku ndoto zake zikizima kama mshumaa?

Me naona ifike mahali tuwe na staha katika maandishi yetu sababu sotw ni binaadam na sote ni njia moja, pia tujue kua kifo ni mawaidha kwa wanaobaki,

Agness amefariki hospital kwa Typhod na Anemia hujui wewe utakufaje na wapi, utapondwa na roli uwe kama chapati watu wakuogope hata kukushika, utaungua na moto hata kuoshwa iwe shida uvishwe plastic, utakufa baharini uwe chakula cha samaki watu wasione maiti yako,
utakufa kwa kipindu pindu ndugu washindwe kukuzika uzikwe na city huku wamevaa mask na gloves.

Yote hayo mjitafakari kabla msiba wa mwenzenu hamjaugeuza kua wa kimajungu na fitna.

Message hii iende kwa wote waliodiss kuanzia comment za mwanzo mpk wanaoendelea kudiss.

Am out.


WASITIRIIIIII BAASIII MAREHEMUU WATARAJIWAA NA WEWW
 
We acha tu, alooo nifanye mpango wa kupata copy aiseee maana nikidanja sasa hivi nasahaulika in 40 days, lakin kakiwepo ka dogo janja angalau jina langu litaishi.
[emoji22][emoji22][emoji22]
Jimbo limepata mbunge
 
Back
Top Bottom