TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Kama unamfollow Mange maana yake anakukuna, mtu useless kwako huwezi kumfollow kwenye social network, peleka unafki wako mbele huko.
Punguza stress ili usome vizuri nimesema I like her kwani we unaumia nini na kuingilia convo za watu utakuja kuparamia visivyoparamika lemutuz we!
 
Dah Chura wake tutabaki kumkumbuka Daima


R I P Mrembo mbele yake nyuma yetu
 
Chumba cha maiti leo kinabidi kiwekewe ulinzi mkali...RIP Agness
 
Wameona wamtangulize maana angetaja mabosi wake wanaomtumiaga kwenye kusafirisha ngada. Ni kama yule aliyesema Lowasa ni baba yake, alipotaja tu na kuomba msamaha mabosi wamemgeuka, sasa anacheza segere la Polisi peke yake.

All in all, RIP.
Nayo ndio madhara ya kuuza unga..ila apumzike kwa amani yeye pamoja na Wateja wake wa unga aliowatanguliza
 
Duniani sote tuna pita..

Apumzike kwa amani dada yetu
 
Reactions: Gef
Da.. Mola ampumzishe pahala panapo stahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…