TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Hii Hospital ya mama Ngoma nayo ichunguzwe. Mtu atakufaje kwa magonjwa kama hayo. Eti kupungukiwa na damu mara homa ya Ini. Shenzi kabisa kila siku watu tunatoa damu zetu wagonjwa wapone wao wanaleta Masihara. Daaah, Tako lile jamani. Daaah, Tako linarudi mavumbini jamani. Mungu tusamehe jamani.
 
Mshana Jr,.....masogange alikuwa na mtoto wa kiume ila jamaa aliezaa nae akutaka mtoto wake awe public figure ndio maana akujulikana ila kwasisi tunaemfahamu masogange tunajua kama anae mtoto.
 
Kuna kipindi alikua amebeba vitu then vikazingua tumboni inasemekana lakini
 
dah kutesa kwa zamu zamu yao sasa wale majamaa akiwa wamotomoto maana hata viluwiluwi kama vipo vinakuwa chaliii

Alale pale alipojichagulia..
 
Mungu amlaze mahali anapostahili,
Ameen.
 
Tasnia ya sanaa ya uigizaji nchini tanzania bongo movie imempoteza msanii wake maarufu.
Agnes masogange baada ya kufariki hivi punde... Katika hospitali ya mama ngoma mwenge jijini dsm alikokuwa anatibiwa tangu jana baada ya kuzidiwa, chanzo cha kifo chake akijajulikana bado.
Ndugu wa marehemu wanafanya mpango kuuchukua mwili wa marehemu, waupeleke monchwari muhimbili.
 
Hivi yule mzee wa gita la Dalimoko hajatupa tu nyepesi nyepesi.
 
Mungu aipokee roho yako na akupumzishe kwa amani mbele yako nyuma yetu hakika sisi sote ni wa mola na kwake tutarejea eeh mungu utujalie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…