Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Alikua akifanya nini
Kubamiza madawa ya kulevya na dhuluma kwa wenzake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikua akifanya nini
Kwa hela zetu za kuunga unga, niliishia kupiga PUNYERE kwa kuangalia msambwanda kwenye pichaMzee mwenzangu vipi hukupita pale?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hela zetu za kuunga unga, niliishia kupiga PUNYERE kwa kuangalia msambwanda kwenye picha
Mungu amlaze mahali anapostahili,Wadau nilipita Mama Ngoma Health Centre Mwenge na kukuta watu wakilia kuuliza naambiwa Video Queen Masogange amefariki muda mfupi uliopita.
=========
UPDATES:
=========
Video queen maarufu Bongo Agness Gerald maarufu kama Agness Masogange amefariki Dunia leo katika Hospitali ya Mama Ngoma Mwenge jijini Dar Es Salaam.
Alikuwa anasumbuliwa na Homa ya matumbo pamoja na tatizo la kupungukiwa na damu.
Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi.
Correct Chief!asante chief...nimeona like zako zakutosha tu means ulikuwa unanifuatilia nakuridhika na hoja zangu"" nashukuru mkuu""
Ndiyo nini hiyo ngengwee??Kumbe alikuwa na ngengwee pia