TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Inategemea umeenda ukiwa stage gani mkuu .. kuna watu wanaenda na unakuta hadi utumbo umeanza kukatika.. jiulize kwann hiyo typhoid imepelekea akaishiwa mpk damu
Huyo kafa sababu ya heroine hio zingine kupambisha tu tokea ashitakiwe kesi ya madawa amekuwa na hali mbaya ..manji bahati yake alikuwa anakesha agakhan hospital

Kuacha heroine kusikiliza kesi yake ,huwezi kuacha heroine afya yako ikawa nzuri
 
Kila nafsi itaonja Mauti mlitaka nani afe sasa.??
 
Jamani sasa wanakuwa wachache walitakiwa wawe wengi,halaf hapa muda mfupi tu alikuwa kimyaaa na makalio yote yale mtu anapungukiwaje damu,hizi hospitali zetu hizi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inanibid nicheke tuu japo inahuzunisha.... Sasa mkuu makalio yanahusiana vipi na damu? [emoji23][emoji23]
 
Hbr zilizotufikia hivi karibuni ni kwamba msanii Agness Masogange amefariki Dunia, na mwili wake umehifadhiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, R.I.P Agness Masogange. Source ni ITV.
 
Ndugu zangu nniwakumbushe tu kwamba pamoja na khali ya maisha kuwa ngumu,wokovu bado ni bure.Huna sababu ya kuhangaika dhambini wakati Yesu alikuja kukuokoa wewe na mimi.Uamuzi ni wako leo,chagua ni nani utakayemtumikie.Dunia na mambo yake yote yatapita lakini neno la Mungu litasimama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…