TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Vifo vyote visivyotokana na uzee,chini ya miaka 70 ni mpango wa shetani.Ukimtumikia Mungu wa kweli huwezi kufa mapema.Imeandikwa
Nanyi mtamtumikia BWANA, Mungu wenu, naye atakibarikia chakula chako, na maji yako; nami nitakuondolea ugonjwa kati yako. Hapatakuwa na mwenye kuharibu mimba, wala aliye tasa, katika nchi yako; na hesabu ya siku zako nitaitimiza."
Kutoka 23:25‭-‬26
 
Kwanini post za awali zilifutwa humu kuhusu hicho kifo? Moderators punguzeni uwoga
 
Nimewaza pia hivyo, inasemekana Mungu wa dar amemsumbua sana toka waachane watu wake wa karibu wanasema kila siku anamletea mapicha mara amnyang'anye vitu nk labda aliogopa angetoa siri zake
ZERO BRAIN basi atakuwa kashafanya yake,jamaa ni mafia usikute kamlambisha Dimethylmercury.
 
Twende mbele turudiii nyumaa jamani mungu anajuaa kuuumba..Mungu alimuumba dadayangu acheniii kapsaa

Yaanii uumbajii huu ulikuwa sikuya sabatoo tulivu kabsaa pembenii anasukumiaa tusker bardiiiiiiiiii ..Naamini ulichukua usikumzima..Polen sana wafiwa pole sana mama mzazi ukweli mungu akutie nguvu
View attachment 751242 View attachment 751244 View attachment 751245
Acha kumkukufuru Mungu wewe mwanadamu, Mungu anasukuma tasker, serious? Mungu akulipe sawasawa na uyatamkayo.
 
Mungu mkubwa, tarehe 1/4/2018 alikuwa anahojiwa na shillawadu kuhusu kuachiwa huru kutokana na kesi ya madawa ya kulevya.
 
Vifo vyote visivyotokana na uzee,chini ya miaka 70 ni mpango wa shetani.Ukimtumikia Mungu wa kweli huwezi kufa mapema.Imeandikwa
Nanyi mtamtumikia BWANA, Mungu wenu, naye atakibarikia chakula chako, na maji yako; nami nitakuondolea ugonjwa kati yako. Hapatakuwa na mwenye kuharibu mimba, wala aliye tasa, katika nchi yako; na hesabu ya siku zako nitaitimiza."
Kutoka 23:25‭-‬26

Bwana Yesu alikufa na miaka mingapi?
 
Mkuu swali la msingi tunamtumikia bwana au shetani?Kizazi cha siku hizi waigizaji tu,wanadhani Mungu ni babu yao.Walo kufa washakufa who is next?Me and you.lakini lipo tumaini ukimpokea Yesu leo,Mungu naye anajua fanya mbwembwe zako zote ila wanadamu wote wana one point of intersection it is called "death" hapo wote tunakutana.Usicheze na Mungu,haangalii sura ila ukimtumikia huwa anakupa taarifa kabisa kabla hajakuchukua.
 
Aisee mala hasili nzito ya sisi majidume imeondoka! Ona sasa serikali imekosa bonge la mapato!

Bora wangeondoka kina Ebotike 10 hiyo malihasili nyeti ikabaki. Ni kama mbugani anakufa tembo wakati kuna mi mbwa mwitu kibao ina ishi tu!

Chama Cha Wapenda Misambwanda (CHAWAMI) Tumepata pigo takatifu! Mtuombee katika kipindi hiki kigumu aiseee

Dah!
 
naomba zoezi la aki na mama waliotelekezwa lisitishwe kwanza tuomboleze
 
Back
Top Bottom