Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 9,971
- 13,608
Vifo vyote visivyotokana na uzee,chini ya miaka 70 ni mpango wa shetani.Ukimtumikia Mungu wa kweli huwezi kufa mapema.Imeandikwa
Nanyi mtamtumikia BWANA, Mungu wenu, naye atakibarikia chakula chako, na maji yako; nami nitakuondolea ugonjwa kati yako. Hapatakuwa na mwenye kuharibu mimba, wala aliye tasa, katika nchi yako; na hesabu ya siku zako nitaitimiza."
Kutoka 23:25-26