TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Dah! RIP dada yetu Agness, Neema na msamaha wa Mwenyezi Mungu kwenye makosa yako kibinadamu uwe juu yako dada.
 
Daaa ahsante Mungu inasikitisha xana ila hatuna budi tujiandae hatujui n lini tutarejea kwa muumba wetu,your in good hands now
 
Hivi typhod husababishwa na kunywa maji yasiyochemshwa? Sidhani kama huyu mrembo alikuwa anakunywa maji ya dawasco.
Duuh, sio tu maji bila kuchemshwa, ndugu kuna kuosha matunda bila kutumia maji Safi na salama, kuna mikachumbari n. K
 
Back
Top Bottom