TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Na msambwanda wote ule.... Kweli malipo ni hapa hapa... [emoji1019] Rip Agie hukuacha hata wa kusingiziwa.... Utakutana nao huko akhera wale uliowatanguliza
Mkuu huyu dada ana mtoto alimzaa hata kabla ya kuwa maarufu sema hakuwahi mu expose
 
Uzi unakimbia kama bomberdier kabisa. Homa ya matumbo na kupungukiwa damu. Haya. Himaya ni kubwa hiyo. Pole dada. R.I.P
 
Watanzania wenzangu, bila kuangalia dini ya mtu, leo naomba niwafunze kitu kimoja. Anapokufa mwanadamu yeyote yule inapaswa wewe ambae uko hai umuombee mwenzio Mungu amjaalie mafikio mema bila kuangalia alijuwa na amali gani anayoifanya. Maana yake ni kwamba huwezi kujua ni amali gani alikuwa anaifanya kwa siri marehemu huyo ambayo ilikuwa inampendeza Mungu na vile vile mwisho wake ni kiasi gani ulikuwa mwema au mbaya.
Tuombeane mema. Naanza mimi.
"Mungu amlaze mahali pema peponi, Amin"

*Maombi yako hayaongezi wala kupunguza kitu mbele za muumba, yeye pekee ndie ajuae amali za mja wake.
 
ungejuwa usingelipa ile milion moja na nusu ila bora hata umeenda hauna deni ... R.I.P
 
Until we take our final breath you will live in our heart, your love will light our way. Your memory will forever be with us. Every step we take, every move we make, every single day and every time we'll be missing you!

R.I.P![emoji120][emoji120][emoji120]
Pole Behaviourist nimekuita mnoo,tunaomba uweke namba tutume rambi rambi
 
Back
Top Bottom