TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Naona watu wanataka kusema Agnes kafa na ukimwi.
JE SISI TULIOBAKI TUMEPIMA.?
 
Wameona wamtangulize maana angetaja mabosi wake wanaomtumiaga kwenye kusafirisha ngada. Ni kama yule aliyesema Lowasa ni baba yake, alipotaja tu na kuomba msamaha mabosi wamemgeuka, sasa anacheza segere la Polisi peke yake.

All in all, RIP.
Inaumiza sana
 
Naomba nielimishwe kidogo maana sijaelewa. Huyo Masogange sijawahi muona hata movie moja au kuhudhuria vikao vya bongo movie ilaa kwanini kina Steve Nyerere wameuchukua msiba wake na kuuweka upande wao?
Hahahaha nilimuona comedian Steve akisema marehemu alikuwa ana ugua pumu...na akaeleza jinsi pumu inavyo mshika mtu hadi kufa....kwakweli nilimcheki nikamcheki....nikasema hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Nikaitimisha kuwa Steve lazima atakuwa na matatizo ya akili kidogo....

Kuhusu huyo marehemu kuigiza filamu labda filamu ya ngono live...
 
Hawa wasanii wanafki mbona wakati ana shida mahakamani alikuwa peke yake wote walikimbia and now wanajifanya ndugu zake
 
Hata akizikwa siku ya muungano lakin atazikiwa kijijin kwao mbeya ,kwaio hatutapata fursa ya kumuaga vizuri
Mkuu, Tumetoa Yutong za kutosha na Coaster mayai kadhaa kwa watu watakaoguswa kwenda kumzika Marehemu Agnes. Umbali wa safari ya mazishi sio tatizo.
 
View attachment 751622
Kwanza poleni wanafamilia kwa msiba wa msanii Agnes Masogange na kila mpenda sanaa Tanzania ni kifo kilichomshtua kila mmoja.

Ili kila mmoja aweze kushiriki mazishi ya mrembo huyo ningeishauri familia wapange mazishi ya msiba huo yawe siku ya sikukuu ya Muungano maana ni siku ambayo wale wapenzi ambao ni wafanyakazi ni rahisi kupata muda wa kushiriki mazishi hayo.

Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi.Amen
Mkuu kwa Hiyo Hutaki Tuwe Idodomia Kwa Sherehe za Muungano?
Who is Agnes's....Muungano kwanza Mkuu
 
Mkuu kwa Hiyo Hutaki Tuwe Idodomia Kwa Sherehe za Muungano?
Who is Agnes's....Muungano kwanza Mkuu
Dodoma mambo yataendelea tu kama kawaida kwasababu vijana wako ni rehearsal ya nguvu sana huko... na wengine watakuwa kwa mzishi ya huyu mrembo
 
Back
Top Bottom