TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Msingi makalio duu! Duniani tunapita ule urisi sjui atakuwa kamuachia Nani maana kila picha ilikuwa lazma ihusishe makalio dah! R.I.P
 
Naomba nielimishwe kidogo maana sijaelewa. Huyo Masogange sijawahi muona hata movie moja au kuhudhuria vikao vya bongo movie ilaa kwanini kina Steve Nyerere wameuchukua msiba wake na kuuweka upande wao?

kacheza nyingi tu na hii 'Nangoja ageuke'
 
Waandishi wa habari mkakimbilia hospitali kuwahi picha za maiti. Wahini na Mbeya mkaonyeshe na kwa marehemu pia.
 
Kuna Mwanaume mmoja nimekutana nae akilia nikamuuliza kulikoni alichonijibu tu kwa haraka haraka ni kwamba hamlilii sana ' aliyeondoka ' bali analilia kile ' alichomuachia ' hivyo nami ' nikajiongeza ' na kuondoza zangu. Naomba niishie hapa tafadhali.
Duuuuu itakuwa Ngoma hyo mkuu,,daah haya mambo mengine aiseee si mchezooo
 
Kuna Mwanaume mmoja nimekutana nae akilia nikamuuliza kulikoni alichonijibu tu kwa haraka haraka ni kwamba hamlilii sana ' aliyeondoka ' bali analilia kile ' alichomuachia ' hivyo nami ' nikajiongeza ' na kuondoza zangu. Naomba niishie hapa tafadhali.
Kamuachia nini etii!!!????
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Hahahaha nilimuona comedian Steve akisema marehemu alikuwa ana ugua pumu...na akaeleza jinsi pumu inavyo mshika mtu hadi kufa....kwakweli nilimcheki nikamcheki....nikasema hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Nikaitimisha kuwa Steve lazima atakuwa na matatizo ya akili kidogo....

Kuhusu huyo marehemu kuigiza filamu labda filamu ya ngono live...
Watu wafupi siku zoteeee wanakuaga na akili mbovuuu sanaaa sijui kwanini au na akili zinakuaga fupi pia..
 
Hawa wasanii wanafki mbona wakati ana shida mahakamani alikuwa peke yake wote walikimbia and now wanajifanya ndugu zake
Ogopa sanaaaa wasanii na waigizaji ni wajinga sanaaaa hawa watu...

Nitashangaa sanaaa mtu anahangaika kuwa msanii au muigizaji badala ya kufanya other business......
 
Unamjua Mpiga Solo mmoja hivi wa Kikongo ( DRC ) aliyepiga Gitaa katika Wimbo wa Kanda Bongoman ule wa ' Inde Monie ' kisha huyo huyu akaling'uta katika Wimbo wa ' Wapi Yo ' wa Yondo Sister kisha akamalizia tena kulipiga katika Wimbo wa ' Evelyn ' wa Aurlus Mabele? Mtafute kisha ' jiongeze ' tafadhali. Gitaa lake ' Kali ' na la ' hatari ' kamwe halijawahi kumuacha Salama Mtu maaruu na tajiri yoyote hapa Tanzania kwani huwa ' wanalicheza ' sana.
Unamsema Dally Kimoko!?
 
View attachment 751622
Kwanza poleni wanafamilia kwa msiba wa msanii Agnes Masogange na kila mpenda sanaa Tanzania ni kifo kilichomshtua kila mmoja.

Ili kila mmoja aweze kushiriki mazishi ya mrembo huyo ningeishauri familia wapange mazishi ya msiba huo yawe siku ya sikukuu ya Muungano maana ni siku ambayo wale wapenzi ambao ni wafanyakazi ni rahisi kupata muda wa kushiriki mazishi hayo.

Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi.Amen

umeambiwa mzaramo yule kwamba atazikwa Dar! ww lumumba vip fala nin

mumkalishe wiki nzima kwenye friji kwani anasubiria ndugu walioko nje nchi! kufa wewe leo tukuzike muungano hiyo
 
Unamjua Mpiga Solo mmoja hivi wa Kikongo ( DRC ) aliyepiga Gitaa katika Wimbo wa Kanda Bongoman ule wa ' Inde Monie ' kisha huyo huyu akaling'uta katika Wimbo wa ' Wapi Yo ' wa Yondo Sister kisha akamalizia tena kulipiga katika Wimbo wa ' Evelyn ' wa Aurlus Mabele? Mtafute kisha ' jiongeze ' tafadhali. Gitaa lake ' Kali ' na la ' hatari ' kamwe halijawahi kumuacha Salama Mtu maaruu na tajiri yoyote hapa Tanzania kwani huwa ' wanalicheza ' sana.
Dally Kimono!!??
 
Back
Top Bottom