tatum
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 5,786
- 4,491
Kama kawaUtaenda Mbeya mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kawaUtaenda Mbeya mkuu?
Kwani kwa kiswahili lina maana gani mkuu?Hii haitumiki
Shari huyo mtu awe Muislam
Instagram kuna vituko,huyo sio Juma Kadara kweli?
Kafa na umbo lake kweli maisha mafupi
Apumzike kwa amani
Naomba nielimishwe kidogo maana sijaelewa. Huyo Masogange sijawahi muona hata movie moja au kuhudhuria vikao vya bongo movie ilaa kwanini kina Steve Nyerere wameuchukua msiba wake na kuuweka upande wao?
Duuuuu itakuwa Ngoma hyo mkuu,,daah haya mambo mengine aiseee si mchezoooKuna Mwanaume mmoja nimekutana nae akilia nikamuuliza kulikoni alichonijibu tu kwa haraka haraka ni kwamba hamlilii sana ' aliyeondoka ' bali analilia kile ' alichomuachia ' hivyo nami ' nikajiongeza ' na kuondoza zangu. Naomba niishie hapa tafadhali.
Kamuachia nini etii!!!????Kuna Mwanaume mmoja nimekutana nae akilia nikamuuliza kulikoni alichonijibu tu kwa haraka haraka ni kwamba hamlilii sana ' aliyeondoka ' bali analilia kile ' alichomuachia ' hivyo nami ' nikajiongeza ' na kuondoza zangu. Naomba niishie hapa tafadhali.
Watu wafupi siku zoteeee wanakuaga na akili mbovuuu sanaaa sijui kwanini au na akili zinakuaga fupi pia..Hahahaha nilimuona comedian Steve akisema marehemu alikuwa ana ugua pumu...na akaeleza jinsi pumu inavyo mshika mtu hadi kufa....kwakweli nilimcheki nikamcheki....nikasema hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Nikaitimisha kuwa Steve lazima atakuwa na matatizo ya akili kidogo....
Kuhusu huyo marehemu kuigiza filamu labda filamu ya ngono live...
Ogopa sanaaaa wasanii na waigizaji ni wajinga sanaaaa hawa watu...Hawa wasanii wanafki mbona wakati ana shida mahakamani alikuwa peke yake wote walikimbia and now wanajifanya ndugu zake
Uchumi alikuwa nao, tatizo alikuwa ameukalia .Lile kontena alilofungasha yule binti had I wakati huu siamini kama linaenda kuwa mavumbi.
Unamsema Dally Kimoko!?Unamjua Mpiga Solo mmoja hivi wa Kikongo ( DRC ) aliyepiga Gitaa katika Wimbo wa Kanda Bongoman ule wa ' Inde Monie ' kisha huyo huyu akaling'uta katika Wimbo wa ' Wapi Yo ' wa Yondo Sister kisha akamalizia tena kulipiga katika Wimbo wa ' Evelyn ' wa Aurlus Mabele? Mtafute kisha ' jiongeze ' tafadhali. Gitaa lake ' Kali ' na la ' hatari ' kamwe halijawahi kumuacha Salama Mtu maaruu na tajiri yoyote hapa Tanzania kwani huwa ' wanalicheza ' sana.
Unataka kuniambia pesa ya UKUADI na RAMBIRAMBI ndo inunue PRADO au jamaa huwa analikodi kukiwa na functionsSteve Nyerere ni mtafutaji kama watafutaji wengine,Dada zetu wa Bongo movie wakiwa wazima jamaa huwa anakuwa pimp,wakifariki anafukuzia rambirambi
View attachment 751622
Kwanza poleni wanafamilia kwa msiba wa msanii Agnes Masogange na kila mpenda sanaa Tanzania ni kifo kilichomshtua kila mmoja.
Ili kila mmoja aweze kushiriki mazishi ya mrembo huyo ningeishauri familia wapange mazishi ya msiba huo yawe siku ya sikukuu ya Muungano maana ni siku ambayo wale wapenzi ambao ni wafanyakazi ni rahisi kupata muda wa kushiriki mazishi hayo.
Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi.Amen
Dally Kimono!!??Unamjua Mpiga Solo mmoja hivi wa Kikongo ( DRC ) aliyepiga Gitaa katika Wimbo wa Kanda Bongoman ule wa ' Inde Monie ' kisha huyo huyu akaling'uta katika Wimbo wa ' Wapi Yo ' wa Yondo Sister kisha akamalizia tena kulipiga katika Wimbo wa ' Evelyn ' wa Aurlus Mabele? Mtafute kisha ' jiongeze ' tafadhali. Gitaa lake ' Kali ' na la ' hatari ' kamwe halijawahi kumuacha Salama Mtu maaruu na tajiri yoyote hapa Tanzania kwani huwa ' wanalicheza ' sana.