King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Doh,kuna moja kapiga na mtoto wa ilala sikusei anaitwa sumarider nyimbo inambwa"you my lady njoo kwangu njoo udance na mi hooh," humu masogange bado mbishi kabisa,R.I.P Aggy.
du mange kimaviUoga tu wa watawala sidhani kama kutakuwa na Maandamano........wamemkatili tu Bint wa watu.
akiongea watu wengi wanalipa uzito, watu wengi wanamuamini kuliko hata MboweAghhh nae huyo akwendee huko
Ngoma alistaafu toka Oceanroad. Ukweli ubaki ilivyo, hizi siyo hospitali ni dispensaries tu! Ziko nyingi ndani ya jiji la Dar. Unakuta Daktari mzima yuko kwenye kioski anakusanya elfu 10 za wagonjwa kumuona na anaamini anafanya tiba. Hii ni kuchezea maisha ya watu kwa urafi wa kutajilika. Muhimbili imefanywa ni sehemu ya kuwinda wagonjwa na kuwaelekeza kwenye vioski vyao.Kwa Mama Ngoma ni kidispensary?sio kweli mmewe kama sikosei ana kitendo kwenye masuala ya Kansa na ukiwa na pesa ukienda pale unahudumiwa vzr mpk Kansa wanapiga mionzi km sijakosea
hakuna chochote kinachotokea baada ya kifo..Mungu awape faraja ndugu, jamaa na Marafiki wote wa Agness Masogange.
Kifo kinapotokea kinakuwa ni funzo kwetu ili kujiandaa kabla ya kufa.
Swali fikirishi huwa ni : Ukifa utaenda wapi?
Ye mwenyew alikua mtumiaji..na mahakama ilithibitisha akalipa fainMuwazuie watoto wenu kula masogange yeye alikua mpambanaji anajitafutia kipato
Uchunguzi huru muhimu sana,Siku kama 5 zilizopita alikuwa safi tu,alilazwa kwa mama ngoma kwa siku nne,why alazwe siku nne? Kama kulikuwa na life-threatening kwa nini wasimpe rufaa kwenda hospital kubwa? Kuna Connection ya DAB au Snowmen na Masogange.Kwanini uchunguzi huru ufanyike?
Mhubiri 9:5 inahusika hapa. MUNGU awe mfariji kwa wanafamilia na watanzania wote. .....MUNGU atujulishe kuzihesabu siku zetu.... Zaburi 90:12.
kama na mm mmiliki wa hii nchi basi naomba nikaye kiu lile cruiser la POLISI..si mali yetu soteYeye ni mwanainchi pia ni mmoja ya wamiliki wa taifa hili
Mawazo ya kusadikika tu ka kila jambo na ndiyo yanayowapoteza wengi kila kitu ni kudhani tu.
Na ndiyo maana hata trillion 1.5 mnadhani tu na kuandika mitandaoni wakati ukweli anao aliyeandika ripoti na jana ametoa ukweli wake.
.
Vp na ww umefanikiwa kupata mgao wa trillion 1.5Nina swali moja tu.
Je dada Mange akuja kuongoza hayo maandamano?
Atakuwepo au atawaingiza kingi wafuasi wake?
Hahaa yaani sijui anakitu gani special yule dada maana siyo kwakusikilizwa hukoakiongea watu wengi wanalipa uzito, watu wengi wanamuamini kuliko hata Mbowe