kwann unahisi huu msiba umewagusa wanaume?
wewe hujaumia kuona mwanamke mwenzako aliyeacha mtoto mdogo amekwenda?
wewe haijakuumiza kuona kijana mdogo wa miaka 29 akipoteza uhai wake just like that huku ndoto zake zikizima kama mshumaa?
Me naona ifike mahali tuwe na staha katika maandishi yetu sababu sotw ni binaadam na sote ni njia moja, pia tujue kua kifo ni mawaidha kwa wanaobaki,
Agness amefariki hospital kwa Typhod na Anemia hujui wewe utakufaje na wapi, utapondwa na roli uwe kama chapati watu wakuogope hata kukushika, utaungua na moto hata kuoshwa iwe shida uvishwe plastic, utakufa baharini uwe chakula cha samaki watu wasione maiti yako,
utakufa kwa kipindu pindu ndugu washindwe kukuzika uzikwe na city huku wamevaa mask na gloves.
Yote hayo mjitafakari kabla msiba wa mwenzenu hamjaugeuza kua wa kimajungu na fitna.
Message hii iende kwa wote waliodiss kuanzia comment za mwanzo mpk wanaoendelea kudiss.
Am out.