joely sandu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2017
- 1,962
- 1,818
Jaribu kufanya utafiti wa kutosha ndo useme tusijadil icho kifo chake toka ametoka jela kakaa mda gan na amekufaKwa mujibu wa maelezo yake mwenyewe marehemu akihojiwa na kituo flani cha redio alisema kwamba kesi iliisha na yeye alitakiwa kulipa pesa ambayo ni millioni moja na point something na ameshalipa sasa yupo huru na anafurahi kwa kuwa huru kwa sasa. Wewe tena unakuja kunambia kuwa walikata rufaa jee wewe na marehemu nani tumuamini?