Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
Ujing huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uvideo kwini unalipa hadi baba kajengewa Nyumba.View attachment 752709 Nyumbani kwa Baba yake Mzazi Agness Gerald 'Masogange' Mbeya Mbalizi kata ya Utengule Usongwe ambapo mazishi yatafanyika tayari Wametenga Msiba. - Baba Mzazi anaitwa Gerald Waya ambapo amesema nyumba amejengewa na Mtoto wake Agness
Duh aisee!Heee!! Masogange Vipi umefufuka nini!???,Hatuwezi heshimu maiti ya namna hiyo yeye kauwa wangapi kwa madawa ya kulevya angekuwa anajiheshimu angekuwa anapiga picha za uchi hizo picha alitupa za ukumbusho na ndo tunamkumbuka
Ni kweli mkuu,namshangaa huyu anayenunua wapinzani utadhani hatakufa.kweli maisha chini ya jua ni kukimbiza upepo tu binti wa watu kama angelijua kuwa hana muda mrefu wa kuishi asingejitabisha kwa kiasi kikubwa hivi.
RIP dada lakini kuna mengi ya kujifunza kwa tunaobaki na hasa vijana
Afadhali na hawa wakipata wanakumbuka nyumbani kamuachia baba yake sehemu nzuri ya kuishiView attachment 752709 Nyumbani kwa Baba yake Mzazi Agness Gerald 'Masogange' Mbeya Mbalizi kata ya Utengule Usongwe ambapo mazishi yatafanyika tayari Wametenga Msiba. - Baba Mzazi anaitwa Gerald Waya ambapo amesema nyumba amejengewa na Mtoto wake Agness
Heee!! Masogange Vipi umefufuka nini!???,Hatuwezi heshimu maiti ya namna hiyo yeye kauwa wangapi kwa madawa ya kulevya angekuwa anajiheshimu angekuwa anapiga picha za uchi hizo picha alitupa za ukumbusho na ndo tunamkumbuka
Kumbe mange alishaukwaa?kosa analolifanya Mshana Jr kuwa kila kitu anakichukulia kisiasa hilo ndio kosa lake kubwa. Namkubali sana Mshana Jr kwa post zake lakini kwa hili nimekataa kuwa naye kwenye gari moja maana ni kitu ambacho kipo wazi kabisa... tulipofikia sasa hata leo hii Mange Kimambi akifariki kwa matatizo yake yanayomsumbua basi kuna watu watahusishwa tu maana ndio akili zetu zilipoishia kufikilia
What???
Leta hbr kamili usikute mnazusha
Kumbe ameanza kusumbuliwa na polisi eee safy sana ingawa naona kama vile danganya totoWameona wamtangulize maana angetaja mabosi wake wanaomtumiaga kwenye kusafirisha ngada. Ni kama yule aliyesema Lowasa ni baba yake, alipotaja tu na kuomba msamaha mabosi wamemgeuka, sasa anacheza segere la Polisi peke yake.
All in all, RIP.
Huyu Masongange mbeba madawa ya kuleta ya kuangamiza kizazii cha dunia ikiwemo Tanzania ni nani hasa mpaka eti tukamzike public holiday? Akazikwe na waliokuwa punda wao na mateja aliyozalisha. May she land in helll safely. Sitaki kuwa mnafiki hapa.
Bila shaka hautokufa mkuuHuyu Masongange mbeba madawa ya kuleta ya kuangamiza kizazii cha dunia ikiwemo Tanzania ni nani hasa mpaka eti tukamzike public holiday? Akazikwe na waliokuwa punda wao na mateja aliyozalisha. May she land in helll safely. Sitaki kuwa mnafiki hapa.
ndo uzuri wa mitoto ya kike..litafanya ufuska huko,litachuna mabuzi lkn lazima kwao lipaweke sawa..huyu masogange pamoja na mambo yote machafu anayotuhumiwa kuyafanya but kwa hili la kukumbuka kujenga kwao ni jambo zuri sana na nimelipenda .kuna viongozi kibao wa serikali tena wenye nyadhifa kubwa tu lkn huwa hawakumbuki kujenga kwao kabisa.View attachment 752709 Nyumbani kwa Baba yake Mzazi Agness Gerald 'Masogange' Mbeya Mbalizi kata ya Utengule Usongwe ambapo mazishi yatafanyika tayari Wametenga Msiba. - Baba Mzazi anaitwa Gerald Waya ambapo amesema nyumba amejengewa na Mtoto wake Agness
miti mingi yule kijana ntanashati Na msanii? Kama unataka kumpa promo we kalipie tangazo.Mimi sijawaona wa wa wanao kufa homs au raqaa. Nimeona masogange Binti mzurii jamani mungu angetuachia huyu akachukua wapendwa.mtoto alikuwa pambo la daresalamSina muda wa kumwangalia huyo niko busy namwangali Yesu,mkuu kama uzuri wa sura unakusumbua utapata shida sana bora uhame dar,kwani wazuri ni wengi na siku hizi mabinti wanajua kujipamba sasa itakula kwako.Si kila kitu kinafaa vingine kimbia.Unamwitaji Yesu mkuu,katika shule yangu kielelezo cha kuwa mtu ni mwanaume si kuvutiwa na wanawake wazuri ni zaidi ya hayo.Wewe usijidhalilishe trust me watu watakutapeli kwa kukuletea wanawake wazuri,mwenyewe umekiri udhaifu wako.
Kifo ni kifo,haijarishi umekufaje au umeagwa na watu wangapi,unachotakiwa kujua kabla yako walikuwepo watu ,unadhani waliokufa Syria walikuwa wanawake wenye sura mbaya,kifo hakiangalii sura ,kwa wale waliosoma kitabu cha "Song of Lawino and Okolo kifo kiliitwa "the last safari t pagaki,the place of no return".Unahitaji mke wa kuoa kuna vitu vingi huangaliwa na si mihemko hiyo,nenda kwa mchungaji Peter Mitimingi atakuelimisha,unahitaji uponyaji kwa nini uwe na mifadhaiko?
Huyu jamaa ndy alikuwa anaufaidi ule msambwandazPicha mtoto wa marehemu akiwa na baba yake.View attachment 752853
Heri yeye alipakumbuka nyumbani kwao.View attachment 752709 Nyumbani kwa Baba yake Mzazi Agness Gerald 'Masogange' Mbeya Mbalizi kata ya Utengule Usongwe ambapo mazishi yatafanyika tayari Wametenga Msiba. - Baba Mzazi anaitwa Gerald Waya ambapo amesema nyumba amejengewa na Mtoto wake Agness
Nazan labda kabla haujawa ndembendembeHuyu jamaa ndy alikuwa anaufaidi ule msambwandaz
Ova