TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

30593122_1666311893455536_5611544857223888896_n.jpg
30593370_201664313777580_8134644797081124864_n.jpg
30087116_2058356994421089_3480205054986682368_n.jpg
30829325_169931710320100_1929982904947965952_n.jpg
 
I am sorry... Clouds kurusha msiba was masogange live in ujinga Na kupoteza maana

She has never been a public image that any mother , father or husband would dream of

Clouds mmenajisi vipindi vyenu vizuri sana vya jumapili

mkuu anzisha TV yako, ni private media ile

jamii inataka kuona, wafadhili wa kipindi wapo na matangazo yao...waache hela kisa kunajisi

unataja warushe kipi live watu watakachoangalia?
 
Sawa mkuu, nakumbuka kuwa utaratibu ni lazima kuwe na walalamikaji kuwa wana wasiwasi na kifo cha marehemu, kama hakuna aliyefile madai hakuna atakayetoa ripoti kwa umma.
Nadhani waandishi wa habari wanaofatilia habari za kichunguzi watafatilia kuhusu hili suala kwa undani.Apumzike kwa aman Masogang.
 
Dah kusema la ukweli sijaunga bado. Nilikua namzimkia kikweli na shep lake.
 
mkuu anzisha TV yako, ni private media ile

jamii inataka kuona, wafadhili wa kipindi wapo na matangazo yao...waache hela kisa kunajisi

unataja warushe kipi live watu watakachoangalia?
Ikikuuma achana Na Mimi

Kuna posts zaidi ya milioni humu

Tafuta inayokufaa

I have aired my views just like any other... Sijavunja Sheria yoyote

Wewe, uko canada huko ishi utakavyo, we are worried about our daughters here... Kama ambavyo tunapambana kubadili lyrlyr za ajabu, basi hata characters za ajabu zina mahala pale
Sio kila kitu ni matako tu

Stay off me aisee
 
Basi wadau wasiweke picha za makalio sio vizuri.. tumieni hata passport size
Hana kingine cha kuonyesha

Atakumbukwa kwa matako, video za uchi au nusu uchi, Na kuhusishwa Na madawa ya kulevya

Alichagua
 
Hana kingine cha kuonyesha

Atakumbukwa kwa matako, video za uchi au nusu uchi, Na kuhusishwa Na madawa ya kulevya

Alichagua

Ni kweli usemavyo Chief, lakini bado sisi ni binaadam kustiriwa na kustiriana ni sehemu ya ubinaadam wetu. Yake yamepita tayari amesharudisha jezi kwa mwenye timu, tuangalie yetu sisi ambao bado tuko uwanjani!
 
Mi
miti mingi yule kijana ntanashati Na msanii? Kama unataka kumpa promo we kalipie tangazo.Mimi sijawaona wa wa wanao kufa homs au raqaa. Nimeona masogange Binti mzurii jamani mungu angetuachia huyu akachukua wapendwa.mtoto alikuwa pambo la daresalam
halafu Wanaume wa Dar mkashindwa mpachika mtoto acheni mpimwe tezidume kz kusifia misambandwa sisi huku Bara tunaitusua
 
Mi
miti mingi yule kijana ntanashati Na msanii? Kama unataka kumpa promo we kalipie tangazo.Mimi sijawaona wa wa wanao kufa homs au raqaa. Nimeona masogange Binti mzurii jamani mungu angetuachia huyu akachukua wapendwa.mtoto alikuwa pambo la daresalam
Mkuu samahani,kumbe wewe unatatizo kubwa kuliko nilivyoku classify awali.My apology for trying to help you.Ifuate hiyo njia unayoiona machoni pako ni sahihi lakini mwisho wake ni mauti,tena si mauti ya mwili tu bali mauti ya nafsi na roho.
 
Ikikuuma achana Na Mimi

Kuna posts zaidi ya milioni humu

Tafuta inayokufaa

I have aired my views just like any other... Sijavunja Sheria yoyote

Wewe, uko canada huko ishi utakavyo, we are worried about our daughters here... Kama ambavyo tunapambana kubadili lyrlyr za ajabu, basi hata characters za ajabu zina mahala pale
Sio kila kitu ni matako tu

Stay off me aisee

uliyakosa matako yanakuuma sana!
 
BABA mzazi wa Agnes Masogange anayeitwa, Gerald Waya amesema, mwanaye alikuwa nguzo katika maisha yao na kifo chake ni pigo kubwa kwake na familia kwa ujumla.

Waya amezungumza na MCL Digital nyumbani kwake Mbalizi wilayani Mbeya, leo Jumapili na kusema,

Masogange ni mtoto wanne katika familia yake ya watoto sita ambapo wakike ni watano.

Amesema, Masogange amesoma Shule ya Msingi Utengule-Mbalizi na Sekondari ya Sangu akaishia kidato cha pili.

Waya amesema Masogange alipata matatizo hivyo akalazimika kuacha shule. Hata hivyo amesema hataki kuzungumzia mambo mabaya wakati huu anapoomboleza kifo cha mwanaye.

“Aliishia form two (kidato cha pili), akapata matatizo ikabidi aache shule. Tulikosana kidogo lakini tukayamaliza yeye akaenda Dar es Salaam,” amesema.

Waya amesema, “Mwanangu alikuwa nguvu kwangu, alikarabati nyumba hii ninayoishi kwa sasa na nilikuwa nafarijika sana, lakini leo kusikia msiba huu kwa kweli inaniuma sana.”

Amesema Masogange alimpigia simu, “Tukaongea naye akaniambia ‘mimi baba ninaumwa’.Nikamuuliza nini tatizo akasema, “aah! baba niombee tu kwa Mungu’. Na Jumamosi iliyopita nilimpigia simu wakati yupo hospitali kujua maendeleo yake lakini akaniambia ‘baba byee’. Nikaanza kulia, na hapo sikuwasiliana naye tena hadi nilipopata taarifa za kifo chake,”amesema.
 
uliyakosa matako yanakuuma sana!
Just grow up agent... Grow up

I value Tanzanians values.... And surely glorifying women as sex toys and drugs mules isn't right

You just know nothing .... If I may say

I will appreciate if you stay off my **ck
 
Ni kweli usemavyo Chief, lakini bado sisi ni binaadam kustiriwa na kustiriana ni sehemu ya ubinaadam wetu. Yake yamepita tayari amesharudisha jezi kwa mwenye timu, tuangalie yetu sisi ambao bado tuko uwanjani!
NN kweli kabisa mkuu

My issue ni public channel kuendelea kuglorify victim wa sexists , drugs and politics za bei ndogo kwa namna ile

Naelewa motive yao... But not this time

Not this time
 
Back
Top Bottom