Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuishi hivyo.... Uonacho ndicho uhalisia wakeHivi hakuna picha za. Stara za marehemu..?
I am sorry... Clouds kurusha msiba was masogange live in ujinga Na kupoteza maana
She has never been a public image that any mother , father or husband would dream of
Clouds mmenajisi vipindi vyenu vizuri sana vya jumapili
Hakuishi hivyo.... Uonacho ndicho uhalisia wake
Nadhani waandishi wa habari wanaofatilia habari za kichunguzi watafatilia kuhusu hili suala kwa undani.Apumzike kwa aman Masogang.Sawa mkuu, nakumbuka kuwa utaratibu ni lazima kuwe na walalamikaji kuwa wana wasiwasi na kifo cha marehemu, kama hakuna aliyefile madai hakuna atakayetoa ripoti kwa umma.
rudi shuleKwa nn hivyo inamana wamemuua?
Ikikuuma achana Na Mimimkuu anzisha TV yako, ni private media ile
jamii inataka kuona, wafadhili wa kipindi wapo na matangazo yao...waache hela kisa kunajisi
unataja warushe kipi live watu watakachoangalia?
Hana kingine cha kuonyeshaBasi wadau wasiweke picha za makalio sio vizuri.. tumieni hata passport size
Mkuu umesema?Inasemekana ameuliwa na mh.RC, ngoja tusubiri details kamili
Hana kingine cha kuonyesha
Atakumbukwa kwa matako, video za uchi au nusu uchi, Na kuhusishwa Na madawa ya kulevya
Alichagua
halafu Wanaume wa Dar mkashindwa mpachika mtoto acheni mpimwe tezidume kz kusifia misambandwa sisi huku Bara tunaitusuaMi
miti mingi yule kijana ntanashati Na msanii? Kama unataka kumpa promo we kalipie tangazo.Mimi sijawaona wa wa wanao kufa homs au raqaa. Nimeona masogange Binti mzurii jamani mungu angetuachia huyu akachukua wapendwa.mtoto alikuwa pambo la daresalam
Mkuu samahani,kumbe wewe unatatizo kubwa kuliko nilivyoku classify awali.My apology for trying to help you.Ifuate hiyo njia unayoiona machoni pako ni sahihi lakini mwisho wake ni mauti,tena si mauti ya mwili tu bali mauti ya nafsi na roho.Mi
miti mingi yule kijana ntanashati Na msanii? Kama unataka kumpa promo we kalipie tangazo.Mimi sijawaona wa wa wanao kufa homs au raqaa. Nimeona masogange Binti mzurii jamani mungu angetuachia huyu akachukua wapendwa.mtoto alikuwa pambo la daresalam
Ikikuuma achana Na Mimi
Kuna posts zaidi ya milioni humu
Tafuta inayokufaa
I have aired my views just like any other... Sijavunja Sheria yoyote
Wewe, uko canada huko ishi utakavyo, we are worried about our daughters here... Kama ambavyo tunapambana kubadili lyrlyr za ajabu, basi hata characters za ajabu zina mahala pale
Sio kila kitu ni matako tu
Stay off me aisee
Just grow up agent... Grow upuliyakosa matako yanakuuma sana!
NN kweli kabisa mkuuNi kweli usemavyo Chief, lakini bado sisi ni binaadam kustiriwa na kustiriana ni sehemu ya ubinaadam wetu. Yake yamepita tayari amesharudisha jezi kwa mwenye timu, tuangalie yetu sisi ambao bado tuko uwanjani!