TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

vijana wa leo mjiulize na mjifunze,Agnes amefariki je ameacha Legacy gan au jambo gan la mfano na kukumbukwa zaid ya watu ku refer makalio yake makubwa

Mimi Ninamkumbuka Kwa Hile Clip iliyokuwa Viral Kule YouTube ambayo Analiwa Uroda Huku Akiwa Anadance Uchi Mishanga Kibao.
 
mi naona hii ni kwa sababu watu wamekuwa wakiamini kila kitu ambacho yule kahaba kimambi anawaambia yaani watu wamefika mahala wamekuwa kama ngo`mbe hawatumii akili zao kabisa, inasikitisha kwakweli...
Binti akiwa tofauti na mawazo yako anakuwa kahaba??
Ndg jiheshimu acha matusi na dharau sio ustaharabu!!
 
BABA mzazi wa Agnes Masogange anayeitwa, Gerald Waya amesema, mwanaye alikuwa nguzo katika maisha yao na kifo chake ni pigo kubwa kwake na familia kwa ujumla.

Waya amezungumza na MCL Digital nyumbani kwake Mbalizi wilayani Mbeya, leo Jumapili na kusema,

Masogange ni mtoto wanne katika familia yake ya watoto sita ambapo wakike ni watano.

Amesema, Masogange amesoma Shule ya Msingi Utengule-Mbalizi na Sekondari ya Sangu akaishia kidato cha pili.

Waya amesema Masogange alipata matatizo hivyo akalazimika kuacha shule. Hata hivyo amesema hataki kuzungumzia mambo mabaya wakati huu anapoomboleza kifo cha mwanaye.

“Aliishia form two (kidato cha pili), akapata matatizo ikabidi aache shule. Tulikosana kidogo lakini tukayamaliza yeye akaenda Dar es Salaam,” amesema.

Waya amesema, “Mwanangu alikuwa nguvu kwangu, alikarabati nyumba hii ninayoishi kwa sasa na nilikuwa nafarijika sana, lakini leo kusikia msiba huu kwa kweli inaniuma sana.”

Amesema Masogange alimpigia simu, “Tukaongea naye akaniambia ‘mimi baba ninaumwa’.Nikamuuliza nini tatizo akasema, “aah! baba niombee tu kwa Mungu’. Na Jumamosi iliyopita nilimpigia simu wakati yupo hospitali kujua maendeleo yake lakini akaniambia ‘baba byee’. Nikaanza kulia, na hapo sikuwasiliana naye tena hadi nilipopata taarifa za kifo chake,”amesema.

Agnes waya? Mi nilijua baba ake anaitwa masogange
 
Alijiua au aliuawa?
Wewe kama waamini biblia ambayo ndiyo imeelezea habari za Yesu,kasoma hapo,"
Ndiposa Baba anipenda, kwa sababu nautoa uhai wangu ili niutwae tena. Hakuna mtu aniondoleaye, bali mimi nautoa mwenyewe. Nami ninao uweza wa kuutoa, ninao na uweza wa kuutwaa tena. Agizo hilo nalilipokea kwa Baba yangu.
Yohana. 10:17‭-‬18
Ukishindwa kuelewa tafuta kiongozi wako wa kidini akusaidie kutafsiri,kama wewe sio mkristo tafuta ,kiongozi wa imani ya kikristo akusaidie kutafsiri badala ya kubisha mambo ambayo huelewi!
 
Kwanini hiyo hospital inaitwa hivyo Mama Ngoma? Ndio usajili wake huo? Au jina la Daktari maarufu hapo? Siifahamu kwa kweli.

Nipo Kalalangabo kwa Waha hapa. Nielimisheni.
Mwenye Hospital hii anaitwa Dr.Twalib Ngoma,yeye alikuwa Mkurugenzi wa Hospital ya Cancer ya Ocean Road. Kabla ya kustaafu. Jina la Hospital linatokana na Mkewe (Marhum) ambaye alikuwa Mkurugenzi Mwenza kabla hajafariki. Miaka kadhaa iliyopita kwa sasa inaendeshwa na Familia ya Ngoma ambayo imejaliwa Watoto watano kati yao Madaktari watatu.
 
Back
Top Bottom