Sawa mkuu, nakumbuka kuwa utaratibu ni lazima kuwe na walalamikaji kuwa wana wasiwasi na kifo cha marehemu, kama hakuna aliyefile madai hakuna atakayetoa ripoti kwa umma.Mkuu kuna utata kuhusu kifo cha masogang.NA huyu dada alikuwa ni msanii nyota.Ni vema ukweli uwekwe hadharani.